---
title: Ethereum kwa wasanidi programu wa Delphi
description: Jifunze jinsi ya kusanidi kwa ajili ya Ethereum ukitumia lugha ya programu ya Delphi
lang: sw
incomplete: true
---

<FeaturedText>

Jifunze jinsi ya kusanidi kwa ajili ya Ethereum ukitumia lugha ya programu ya Delphi

</FeaturedText>

Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya teknolojia ya sarafu-fiche na mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zikishasambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti rasilimali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu tumizi za kifedha. Zinaweza kuwa zilizogatuliwa, ikimaanisha kwamba hakuna taasisi au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzizuia.

Jenga programu tumizi zilizogatuliwa juu ya Ethereum na uwasiliane na mikataba mahiri ukitumia lugha ya programu ya Delphi!

## Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity {#getting-started-with-smart-contracts-and-the-solidity-language}

**Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Delphi na Ethereum**

Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia [ethereum.org/learn](/learn/) au [ethereum.org/developers](/developers/).

- [Mnyororo wa Vitalu Umefafanuliwa](https://kauri.io/article/d55684513211466da7f8cc03987607d5/blockchain-explained)
- [Kuelewa Mikataba Mahiri](https://kauri.io/article/e4f66c6079e74a4a9b532148d3158188/ethereum-101-part-5-the-smart-contract)
- [Andika Mkataba wako Mahiri wa Kwanza](https://kauri.io/article/124b7db1d0cf4f47b414f8b13c9d66e2/remix-ide-your-first-smart-contract)
- [Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity](https://kauri.io/article/973c5f54c4434bb1b0160cff8c695369/understanding-smart-contract-compilation-and-deployment)

## Marejeleo na viungo vya wanaoanza {#beginner-references-and-links}

**Kutambulisha maktaba ya Delphereum**

- [Delphereum ni nini?](https://github.com/svanas/delphereum/blob/master/README.md)
- [Kuunganisha Delphi kwenye mnyororo wa vitalu wa ndani (kwenye kumbukumbu)](https://medium.com/@svanas/connecting-delphi-to-a-local-in-memory-blockchain-9a1512d6c5b0)
- [Kuunganisha Delphi kwenye Mtandao Mkuu wa Ethereum](https://medium.com/@svanas/connecting-delphi-to-the-ethereum-main-net-5faf1feffd83)
- [Kuunganisha Delphi kwenye Mikataba Mahiri](https://medium.com/@svanas/connecting-delphi-to-smart-contracts-3146b12803a1)

**Unataka kuruka usanidi kwa sasa, na uende moja kwa moja kwenye sampuli?**

- [Mkataba Mahiri wa dakika 3 na Delphi - Sehemu ya 1](https://medium.com/@svanas/a-3-minute-smart-contract-and-delphi-61d998571d)
- [Mkataba Mahiri wa dakika 3 na Delphi - Sehemu ya 2](https://medium.com/@svanas/a-3-minute-smart-contract-and-delphi-part-2-446925faa47b)

## Makala ya kiwango cha kati {#intermediate-articles}

- [Kuzalisha sahihi ya ujumbe uliotiwa saini na Ethereum katika Delphi](https://medium.com/@svanas/generating-an-ethereum-signed-message-signature-in-delphi-75661ce5031b)
- [Kuhamisha Etha kwa kutumia Delphi](https://medium.com/@svanas/transferring-ether-with-delphi-b5f24b1a98a4)
- [Kuhamisha tokeni za ERC-20 kwa kutumia Delphi](https://medium.com/@svanas/transferring-erc-20-tokens-with-delphi-bb44c05b295d)

## Miundo ya matumizi ya hali ya juu {#advanced-use-patterns}

- [Delphi na Huduma ya Jina la Ethereum (ENS)](https://medium.com/@svanas/delphi-and-ethereum-name-service-ens-4443cd278af7)
- [QuikNode, Ethereum na Delphi](https://medium.com/@svanas/quiknode-ethereum-and-delphi-f7bfc9671c23)
- [Delphi na Msitu wa Giza wa Ethereum](https://svanas.medium.com/delphi-and-the-ethereum-dark-forest-5b430da3ad93)
- [Badilisha tokeni moja kwa nyingine katika Delphi](https://svanas.medium.com/swap-one-token-for-another-in-delphi-bcb999c47f7)

Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia [ethereum.org/developers](/developers/).