---
title: Ethereum kwa wasanidi programu wa .NET
description: Jifunze jinsi ya kusanidi Ethereum ukitumia miradi na zana zinazotegemea .NET
lang: sw
incomplete: true
---

<FeaturedText>Jifunze jinsi ya kusanidi Ethereum ukitumia miradi na zana zinazotegemea .NET</FeaturedText>

Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia faida za sarafu-fiche na teknolojia ya mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zikishasambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti rasilimali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, ikimaanisha kwamba hakuna taasisi au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzizuia.

Jenga programu tumizi zilizogatuliwa juu ya Ethereum na uwasiliane na mikataba mahiri ukitumia zana na lugha kutoka kwa mrundikano wa teknolojia wa Microsoft - Inayounga mkono C#, # Visual Basic .NET, F#, kwenye zana kama vile VSCode na Visual Studio, katika .NET Framework/.NET Core/.NET Standard. Sambaza mnyororo wa vitalu wa Ethereum kwenye Azure ukitumia Microsoft Azure Blockchain kwa dakika chache. Leta upendo wa .NET kwenye Ethereum!

## Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity {#getting-started-with-smart-contracts-and-the-solidity-language}

**Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha .NET na Ethereum**

Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia [ethereum.org/learn](/learn/) au [ethereum.org/developers](/developers/).

- [Mnyororo wa Vitalu Umefafanuliwa](https://kauri.io/article/d55684513211466da7f8cc03987607d5/blockchain-explained)
- [Kuelewa Mikataba Mahiri](https://kauri.io/article/e4f66c6079e74a4a9b532148d3158188/ethereum-101-part-5-the-smart-contract)
- [Andika Mkataba wako Mahiri wa Kwanza](https://kauri.io/article/124b7db1d0cf4f47b414f8b13c9d66e2/remix-ide-your-first-smart-contract)
- [Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity](https://kauri.io/article/973c5f54c4434bb1b0160cff8c695369/understanding-smart-contract-compilation-and-deployment)

## Marejeleo na viungo vya wanaoanza {#beginner-references-and-links}

**Kutambulisha maktaba ya Nethereum na VS Code Solidity**

- [Nethereum, Kuanza](https://docs.nethereum.com/docs/getting-started/welcome/)
- [Kusakinisha VS Code Solidity](https://marketplace.visualstudio.com/items?itemName=JuanBlanco.solidity)
- [Mtiririko wa Kazi wa Msanidi Programu wa .NET wa Kuunda na Kuita Mikataba Mahiri ya Ethereum](https://medium.com/coinmonks/a-net-developers-workflow-for-creating-and-calling-ethereum-smart-contracts-44714f191db2)
- [Ujumuishaji wa mikataba mahiri na Nethereum](https://kauri.io/#collections/Getting%20Started/smart-contracts-integration-with-nethereum/#smart-contracts-integration-with-nethereumm)
- [Kuunganisha .NET na Mikataba Mahiri ya Mnyororo wa Vitalu wa Ethereum na Nethereum](https://medium.com/my-blockchain-development-daily-journey/interfacing-net-and-ethereum-blockchain-smart-contracts-with-nethereum-2fa3729ac933), pia katika [中文版](https://medium.com/my-blockchain-development-daily-journey/%E4%BD%BF%E7%94%A8nethereum%E9%80%A3%E6%8E%A5-net%E5%92%8C%E4%BB%A5%E5%A4%AA%E7%B6%B2%E5%8D%80%E5%A1%8A%E9%8F%88%E6%99%BA%E8%83%BD%E5%90%88%E7%B4%84-4a96d35ad1e1)
- [Nethereum - Maktaba ya ujumuishaji ya .NET ya chanzo wazi kwa mnyororo wa vitalu](https://kauri.io/#collections/a%20hackathon%20survival%20guide/nethereum-an-open-source-.net-integration-library/)
- [Kuandika Miamala ya Ethereum kwenye Hifadhidata ya SQL Kwa Kutumia Nethereum](https://medium.com/coinmonks/writing-ethereum-transactions-to-sql-database-using-nethereum-fd94e0e4fa36)
- [Tazama jinsi ya kusambaza mikataba mahiri ya Ethereum kwa urahisi ukitumia C# na VisualStudio](https://koukia.ca/deploy-ethereum-smart-contracts-using-c-and-visualstudio-5be188ae928c)

**Unataka kuruka usanidi kwa sasa, na uruke moja kwa moja kwenye sampuli?**

- [Nethereum Playground](https://playground.nethereum.com/) - Wasiliana na Ethereum na ujifunze jinsi ya kutumia Nethereum kupitia kivinjari.
  - [Hoji Salio la Akaunti](https://docs.nethereum.com/docs/core-foundation/guide-query-balance)
  - [Hoji Salio la Mkataba Mahiri wa ERC-20](https://docs.nethereum.com/docs/smart-contracts/erc20)
  - [Hamisha Etha kwenye Akaunti](https://docs.nethereum.com/docs/core-foundation/guide-send-eth)
  - ... Na zaidi!
## Makala ya kati {#intermediate-articles}

- [Nethereum Kuanza & Mradi wa Kwanza](https://docs.nethereum.com/docs/getting-started/first-project)
- [Sambaza Minyororo Yako Mwenyewe ya Majaribio ya Maendeleo](https://github.com/Nethereum/Testchains)
- [Uzalishaji wa msimbo ukitumia Nethereum na VS Code](https://docs.nethereum.com/docs/smart-contracts/code-generation/)
- [Unity na Ethereum: Kwa nini na Jinsi gani](https://www.raywenderlich.com/5509-unity-and-ethereum-why-and-how)
- [Unda API ya Wavuti ya ASP.NET Core kwa programu tumizi zilizogatuliwa (dapps) za Ethereum](https://tech-mint.com/blockchain/create-asp-net-core-web-api-for-ethereum-dapps/)
- [Mfumo wa Nethereum MUD kwa programu tumizi zilizopangwa mnyororoni](https://docs.nethereum.com/docs/mud-framework/overview/)
- [Uchakataji wa Mnyororo wa Vitalu wa Nethereum](https://docs.nethereum.com/docs/data-and-indexing/guide-blockchain-processing)
- [Utiririshaji wa wakati halisi wa Nethereum](https://docs.nethereum.com/docs/core-foundation/guide-realtime-streaming/)
- [Kaleido na Nethereum](https://kaleido.io/kaleido-and-nethereum/)
- [Quorum na Nethereum](https://github.com/Nethereum/Nethereum/blob/master/src/Nethereum.Quorum/README.md)
## Miundo ya matumizi ya hali ya juu {#advanced-use-patterns}

- [Hifadhi ya Ufunguo ya Azure na Nethereum](https://github.com/Azure-Samples/bc-community-samples/tree/master/akv-nethereum)
- [Nethereum.DappHybrid](https://github.com/Nethereum/Nethereum.DappHybrid)
- [Usanifu wa marejeleo wa mandhari-nyuma ya Ujo Nethereum](https://github.com/Nethereum/ujo-backend)
## Miradi ya .NET, zana na mambo mengine ya kufurahisha {#dot-net-projects-tools-and-other-fun-stuff}

- [Nethereum Playground](https://playground.nethereum.com/) - _Kusanya, unda, na uendeshe vijisehemu vya msimbo wa Nethereum kwenye kivinjari_
- [Nethereum Codegen Blazor](https://github.com/Nethereum/Nethereum.CodeGen.Blazor) - _Codegen ya Nethereum yenye UI katika Blazor_
- [Nethereum Blazor](https://github.com/Nethereum/NethereumBlazor) - _Kichunguzi chepesi cha mnyororo wa vitalu cha .NET Wasm SPA na mkoba rahisi_
- [Wonka Business Rules Engine](https://github.com/Nethereum/Wonka) - _Injini ya sheria za biashara (kwa jukwaa la .NET na jukwaa la Ethereum) ambayo kiasili inaendeshwa na data fafanuzi_
- [Nethermind](https://github.com/NethermindEth/nethermind) - _Mteja wa Ethereum wa .NET Core kwa Linux, Windows, MacOS_
- [eth-utils](https://github.com/ethereum/eth-utils/) - _vitendaji vya matumizi kwa kufanya kazi na misingi ya msimbo inayohusiana na Ethereum_
- [TestChains](https://github.com/Nethereum/TestChains) - _Minyororo ya maendeleo ya .NET iliyosanidiwa mapema kwa majibu ya haraka (uthibitisho wa mamlaka (PoA))_

Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia [ethereum.org/developers](/developers/).
## Wachangiaji wa jumuiya ya .NET {#dot-net-community-contributors}

Katika Nethereum, mara nyingi tunapatikana kwenye [Gitter](https://gitter.im/Nethereum/Nethereum) ambapo kila mtu anakaribishwa kuuliza/kujibu maswali, kupata msaada, au kupumzika tu. Jisikie huru kufanya PR au kufungua suala kwenye [hazina ya GitHub ya Nethereum](https://github.com/Nethereum), au pitia tu miradi mingi ya kando/sampuli tuliyonayo. Unaweza pia kutupata kwenye [Discord](https://discord.gg/jQPrR58FxX)!

Ikiwa wewe ni mgeni kwa Nethermind na unahitaji msaada wa kuanza, jiunge na [Discord](https://discord.gg/PaCMRFdvWT) yetu. Wasanidi programu wetu wapo tayari kujibu maswali yako. Usisite kufungua PR au kuibua masuala yoyote kwenye [hazina ya GitHub ya Nethermind](https://github.com/NethermindEth/nethermind).

## Orodha nyingine zilizojumuishwa {#other-aggregated-lists}

[Tovuti Rasmi ya Nethereum](https://nethereum.com/)  
[Tovuti Rasmi ya Nethermind](https://nethermind.io/)
