---
title: Ethereum kwa wasanidi programu wa Java
description: Jifunze jinsi ya kusanidi Ethereum ukitumia miradi na zana zinazotegemea Java
lang: sw
incomplete: true
---

<FeaturedText>Jifunze jinsi ya kusanidi Ethereum ukitumia miradi na zana zinazotegemea Java</FeaturedText>

Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu-fiche na teknolojia ya mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zinaposambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti mali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, ikimaanisha kuwa hakuna chombo kimoja au mtu anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzidhibiti.

## Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity {#getting-started-with-smart-contracts-and-solidity}

**Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Java na Ethereum**

Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia [ethereum.org/learn](/learn/) au [ethereum.org/developers.](/developers/)

- [Mnyororo wa vitalu Umefafanuliwa](https://kauri.io/article/d55684513211466da7f8cc03987607d5/blockchain-explained)
- [Kuelewa Mikataba Mahiri](https://kauri.io/article/e4f66c6079e74a4a9b532148d3158188/ethereum-101-part-5-the-smart-contract)
- [Andika Mkataba Mahiri wako wa Kwanza](https://kauri.io/article/124b7db1d0cf4f47b414f8b13c9d66e2/remix-ide-your-first-smart-contract)
- [Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity](https://kauri.io/article/973c5f54c4434bb1b0160cff8c695369/understanding-smart-contract-compilation-and-deployment)

## Kufanya kazi na wateja wa Ethereum {#working-with-ethereum-clients}

Jifunze jinsi ya kutumia [Web3j](https://github.com/web3j/web3j) na Hyperledger Besu, wateja wawili wakuu wa Java Ethereum

- [Kuunganisha kwa mteja wa Ethereum na Java, Eclipse, na Web3j](https://kauri.io/article/b9eb647c47a546bc95693acc0be72546/connecting-to-an-ethereum-client-with-java-eclipse-and-web3j)
- [Dhibiti akaunti ya Ethereum na Java na Web3j](https://kauri.io/article/925d923e12c543da9a0a3e617be963b4/manage-an-ethereum-account-with-java-and-web3j)
- [Tengeneza Kifuniko cha Java kutoka kwa Mkataba Mahiri wako](https://kauri.io/article/84475132317d4d6a84a2c42eb9348e4b/generate-a-java-wrapper-from-your-smart-contract)
- [Kutangamana na Mkataba Mahiri wa Ethereum](https://kauri.io/article/14dc434d11ef4ee18bf7d57f079e246e/interacting-with-an-ethereum-smart-contract-in-java)
- [Kusikiliza Matukio ya Mkataba Mahiri wa Ethereum](https://kauri.io/article/760f495423db42f988d17b8c145b0874/listening-for-ethereum-smart-contract-events-in-java)
- [Kutumia Besu (Pantheon), Mteja wa Java Ethereum na Linux](https://kauri.io/article/276dd27f1458443295eea58403fd6965/using-pantheon-the-java-ethereum-client-with-linux)
- [Kuendesha Nodi ya Hyperledger Besu (Pantheon) katika Majaribio ya Ujumuishaji ya Java](https://kauri.io/article/7dc3ecc391e54f7b8cbf4e5fa0caf780/running-a-pantheon-node-in-java-integration-tests)
- [Karatasi ya Marejeleo ya Web3j](<https://kauri.io/web3j-cheat-sheet-(java-ethereum)/5dfa1ea941ac3d0001ce1d90/c>)

Jifunze jinsi ya kutumia [ethers-kt](https://github.com/Kr1ptal/ethers-kt), maktaba ya Kotlin yenye utendaji wa juu na isiyosawazishwa kwa ajili ya kutangamana na minyororo ya vitalu inayotegemea EVM. Inalenga majukwaa ya JVM na Android.
- [Hamisho la tokeni za ERC-20](https://github.com/Kr1ptal/ethers-kt/blob/master/examples/src/main/kotlin/io/ethers/examples/abi/TransferERC20.kt)
- [Badilishano la UniswapV2 na usikilizaji wa matukio](https://github.com/Kr1ptal/ethers-kt/blob/master/examples/src/main/kotlin/io/ethers/examples/tokenswapwitheventlistening/TokenSwapWithEventListening.kt)
- [Kifuatiliaji cha salio la ETH / ERC-20](https://github.com/Kr1ptal/ethers-kt/blob/master/examples/src/main/kotlin/io/ethers/examples/balancetracker/BalanceTracker.kt)

## Makala ya kati {#intermediate-articles}

- [Kudhibiti hifadhi katika programu ya Java na IPFS](https://kauri.io/article/3e8494f4f56f48c4bb77f1f925c6d926/managing-storage-in-a-java-application-with-ipfs)
- [Dhibiti tokeni za ERC-20 katika Java na Web3j](https://kauri.io/article/d13e911bbf624108b1d5718175a5e0a0/manage-erc20-tokens-in-java-with-web3j)
- [Wasimamizi wa Muamala wa Web3j](https://kauri.io/article/4cb780bb4d0846438d11885a25b6d7e7/web3j-transaction-managers)

## Mifumo ya matumizi ya hali ya juu {#advanced-use-patterns}

- [Kutumia Eventeum kuunda kache ya data ya mkataba mahiri wa Java](https://kauri.io/article/fe81ee9612eb4e5a9ab72790ef24283d/using-eventeum-to-build-a-java-smart-contract-data-cache)

## Miradi na zana za Java {#java-projects-and-tools}

- [Web3j (Maktaba ya Kutangamana na Wateja wa Ethereum)](https://github.com/web3j/web3j)
- [ethers-kt (Maktaba ya Kotlin/Java/Android isiyosawazishwa, yenye utendaji wa juu kwa minyororo ya vitalu inayotegemea EVM.)](https://github.com/Kr1ptal/ethers-kt)
- [Eventeum (Msikilizaji wa Matukio)](https://github.com/ConsenSys/eventeum)
- [Mahuta (Zana za Wasanidi Programu za IPFS)](https://github.com/ConsenSys/mahuta)

Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia [ethereum.org/developers.](/developers/)

## Wachangiaji wa jamii ya Java {#java-community-contributors}

- [IO Builders](https://io.builders)
- [Kauri](https://kauri.io)