Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Ukurasa ulisasishwa mwisho: 11 Machi 2024

Vyanzo vya lugha

Jamii ya Ethereum ni ya ulimwengu mzima na imejaa mamilioni ya wazungumzaji wasiozungumza kiingereza.

Lengo letu ni kutoa elimu kwa kutumia lugha zote na kuondoa kizuizi cha lugha kinachofanya uungaji mkono wa Ethereum kutoka pande zote ulimwenguni kutokua changamoto.

Kama ungependa kusoma katika lugha yako ama unafahamu m tu asiyezungumza kiingereza, unaweza kupata orodha ya vyanzo visivyo katika lugha ya kiingereza hapo chini. Mamia kwa maelfu ya wapenzi wa Ethereum hukusanyika kwenye majukwaa ya mtandaoni kupeana taarufa, kuongelea mabaoresho ya hivi karibuni, jadili masuala ya kiufundi, na kufikiria Ethereum ijayo.

Je, unajua chanzo cha elimu ya Ethereum cha lugha yako? Fungua suala(opens in a new tab) kukiongeza kwenye orodha!

Vyanzo vya Ethereum.org

Ethereum.org imetafsiriwa kwenda kwenye lugha zaidi ya 40 unazoweza kupata kwenye ukurasa wetu wa lugha.

Language selector menu

Kama unazungumza lugha zaidi ya moja na ungependa kutusaidia kufikia watu wengi zaidi, unaweza kujihusisha nasi kwenyeProgramu ya Ufasiri wa ethereum.org na kutusaidia kutafsiri tovuti yetu.

Vyanzo kwa wanajamii

Kireno cha Brazili

Habari

Elimu

Kichina

Vyanzo vya jumla

Ikolojia ya Ethereum

Kwa wasanidi programu

Kwa watafiti wa Kriptograhia

Kifaransa

Kijerumani

Kiitaliano

Kiispaniola

Kituruki

Kivietinamu

Kijapani

Je! makala haya yamekusaidia?