Jifunze kwa usimbuaji
Vifaa hivi vitakusaidia kufanya majaribio ya Ethereum kama ungependa maingiliano zaidi wakati wa kujifunza.
Visanduku vya msimbo
Hivi visanduku vitakupa nafasi ya kufanya majaribio ya uandishi wa mikataba erevu na kuielewa Ethereum.
Remix na Replit ni zaidi ya eneo la majaribio, wasanidi programu wanaweza kuandika, kukusanya na kupeleka mikataba erevu mtandaoni kwa kuzitumia.
Mafunzo kwa njia ya mchezo wa mwingiliano
Jifunze huku unacheza. Mafunzo haya yatakufundisha vitu vyote vya msingi kwa kutumia gameplay.

CryptoZombies
Jifunze Solidity kwa kujenga mchezo wa watu wa kutisha.
Solidity
Open CryptoZombies(opens in a new tab)
Ethernauts
Maliza viwango vyote kwa kudukua mikataba erevu.
Solidity
Open Ethernauts(opens in a new tab)
Capture The Ether
Kamata Ether ni mchezo ambao utadukua mikataba erevu ya Ethereum ili kujifunza kuhusu usalama.
Solidity
Open Capture The Ether(opens in a new tab)Mafunzo kwa wasanidi programu
Kozi za mtandaoni zilizolipiwa zitakuwezesha haraka.

Platzi
Learn how to build dapps on Web3 and master all the skills needed to be a blockchain developer.
Solidityweb3
Open Platzi(opens in a new tab)
ChainShot
Kambi za mtandaoni zinazoendeshwa na walimu walio wasanidi programu za Ethereum na kozi nyingine za ziada.
SolidityVyperweb3
Open ChainShot(opens in a new tab)
ConsenSys Academy
Kamabi ya kujifunzia ya usanidi programu za Ethereum mtandaoni.
Solidityweb3
Open ConsenSys Academy(opens in a new tab)
BloomTech
Kozi ya BloomTech Web3 itakufundisha ujuzi wanaotafuta waajiri kutoka kwa wahandisi.
Solidityweb3
Open BloomTech(opens in a new tab)
_buildspace
Jifunze kuhusu kripto kwa kutengeneza mradi ulio poa.
Solidityweb3
Open _buildspace(opens in a new tab)
Questbook
Madunzo ya kasi binafsi lujifunza Web 3.0 kwa kujenga
Solidityweb3
Open Questbook(opens in a new tab)
Metaschool
Become a Web3 Developer by building & shipping dApps.
Solidityweb3
Open Metaschool(opens in a new tab)
NFT School
Chunguza nini kinaendelea na ishara-zisizokuvu, au NFT kutoka kwa mafundi.
Solidityweb3
Open NFT School(opens in a new tab)
Pointer
Jifunze teknolojia ya web3 na mafunzo yatakayokufurahisha. Jishindie crypto wakati unajiendeleza
Solidityweb3
Open Pointer(opens in a new tab)
Speed Run Ethereum
Speed Run Ethereum is a set of challenges to test your Solidity knowledge using Scaffold-ETH
Solidityweb3
Open Speed Run Ethereum(opens in a new tab)
Alchemy University
Develop your web3 career through courses, projects and code.
Solidityweb3
Open Alchemy University(opens in a new tab)