Ruka hadi kwenye maudhui makuu
Change page

Nyaraka za uendelezaji wa Ethereum

Nyaraka hizi zimeundwa ili kukusaidia kujenga na Ethereum. Inashughulikia Ethereum kama dhana, inaelezea tech stack ya Ethereum, na kuweka kumbukumbu za mada za hali ya juu kwa programu tumizi na matumizi changamano zaidi.

Kila kitu hapa ni chanzo-wazi (open-source) na kinadumishwa na jamii, kwa hivyo ikiwa ukurasa umepitwa na wakati au unakosa kitu muhimu, fungua issue au pull request. Mwongozo wa kuhariri (opens in a new tab) unaelezea jinsi ya kufanya hivyo.

Chagua mahali pa kuanzia

Wasomaji huja na malengo tofauti, na njia ya haraka zaidi kupitia nyaraka hizi inategemea kile unachotaka kujenga. Baadhi ya sehemu za kawaida za kuanzia:

Moduli za uendelezaji

Ikiwa hili ni jaribio lako la kwanza la uendelezaji wa Ethereum, tunapendekeza uanzie mwanzo na uendelee kusoma kama kitabu.

Mada za msingi

Stack ya Ethereum

Ya hali ya juu