Ethereum kwa wasanidi programu wa Go
Jifunze jinsi ya kusanidi Ethereum ukitumia miradi na zana zinazotegemea Go
Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps"). Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zinaposambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zimegatuliwa, ikimaanisha kwamba zinafanya kazi kwenye mtandao wa rika-kwa-rika na hakuna kituo kimoja cha kutofaulu. Hakuna chombo au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuziwekea udhibiti wa kuzuia. Zinaweza kudhibiti mali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu tumizi.
Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Go na Ethereum
Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa vitalu Umefafanuliwa (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuelewa Mikataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
- Andika Mkataba wako Mahiri wa Kwanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mafunzo ya Mkataba (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala na vitabu vya wanaoanza
- Kuanza na Geth (inafunguka katika kichupo kipya)
- Tumia Golang Kuunganisha kwenye Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Sambaza Mikataba Mahiri ya Ethereum Ukitumia Golang (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mwongozo wa Hatua kwa Hatua wa Kujaribu na Kusambaza Mikataba Mahiri ya Ethereum katika Go (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kitabu pepe: Uundaji wa Ethereum na Go (inafunguka katika kichupo kipya) - Unda programu tumizi za Ethereum na Go
Makala na hati za kiwango cha kati
- Nyaraka za Go Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya) - Nyaraka za Golang rasmi ya Ethereum
- Mwongozo wa Mtayarishaji wa Erigon (inafunguka katika kichupo kipya) - Mwongozo ulio na vielelezo unaojumuisha mti wa hali, uthibitisho mwingi, na usindikaji wa muamala
- Erigon na Ethereum Isiyo na Hali (inafunguka katika kichupo kipya) - Mkutano wa Jamii ya Ethereum wa 2020 (EthCC 3)
- Erigon: kuboresha wateja wa Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya) - Devcon 4 ya 2018
- GoDoc ya Go Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuunda dapp katika Go na Geth (inafunguka katika kichupo kipya)
- Fanya kazi na Mtandao wa Kibinafsi wa Ethereum na Golang na Geth (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kujaribu kitengo cha mikataba ya Solidity kwenye Ethereum na Go (inafunguka katika kichupo kipya)
- Rejeleo la haraka la kutumia Geth kama maktaba (inafunguka katika kichupo kipya)
Miundo ya matumizi ya hali ya juu
- Mazingira ya Nyuma Yaliyoigwa ya GETH (inafunguka katika kichupo kipya)
- Programu Tumizi za Mnyororo wa vitalu-kama-Huduma Zikitumia Ethereum na Quorum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Hifadhi Iliyosambazwa ya IPFS na Kundi katika Programu Tumizi za Mnyororo wa vitalu wa Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Wateja wa Simu: Maktaba na Nodi za Ethereum za Inproc (inafunguka katika kichupo kipya)
- Dapps asili: Vifungo vya Go kwenye mikataba ya Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
Miradi na zana za Go
- Geth / Go Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji rasmi wa Go wa itifaki ya Ethereum
- Uchambuzi wa Msimbo wa Go Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya) - Uhakiki na uchambuzi wa msimbo wa chanzo wa Go Ethereum
- Erigon (inafunguka katika kichupo kipya) - Toleo la haraka zaidi la Go Ethereum, linalozingatia nodi za kumbukumbu
- Golem (inafunguka katika kichupo kipya) - Golem inaunda soko la kimataifa la nguvu za kompyuta
- Quorum (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji wenye ruhusa wa Ethereum unaounga mkono faragha ya data
- Prysm (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji wa Go wa Ethereum 'Serenity' 2.0
- Eth Tweet (inafunguka katika kichupo kipya) - Twitter Iliyogatuliwa: Huduma ya kublogu ndogo inayoendeshwa kwenye mnyororo wa vitalu wa Ethereum
- Plasma MVP Golang (inafunguka katika kichupo kipya) — Utekelezaji na upanuzi wa Golang wa vipimo vya Minimum Viable Plasma
- Bwawa la Uchimbaji la Ethereum Huria (inafunguka katika kichupo kipya) - Bwawa la uchimbaji la Ethereum la chanzo huria
- Mkoba wa HD wa Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya) - Minyambuliko ya Mkoba wa HD wa Ethereum katika Go
- Multi Geth (inafunguka katika kichupo kipya) - Usaidizi kwa aina nyingi za mitandao ya Ethereum
- Kiteja Chepesi cha Geth (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji wa Geth wa Itifaki Ndogo ya Ethereum Nyepesi
- SDK ya Golang ya Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji rahisi wa mkoba wa Ethereum na huduma katika Golang
- SDK ya Golang ya Covalent (inafunguka katika kichupo kipya) - Ufikiaji mzuri wa data ya mnyororo wa vitalu kupitia SDK ya Go kwa minyororo ya vitalu 200+
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers
Wachangiaji wa jamii ya Go
- Discord ya Geth (inafunguka katika kichupo kipya)
- Gist ya Geth (inafunguka katika kichupo kipya)
- Slack ya Gophers (inafunguka katika kichupo kipya) - chaneli ya #ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- StackExchange - Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Gitter ya Multi Geth (inafunguka katika kichupo kipya)
- Gitter ya Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Gitter ya Kiteja chepesi cha Geth (inafunguka katika kichupo kipya)