Ethereum kwa wasanidi programu wa Java
Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu-fiche na teknolojia ya mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zinaposambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti mali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, ikimaanisha kuwa hakuna chombo kimoja au mtu anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzidhibiti.
Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Java na Ethereum
Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa vitalu Umefafanuliwa (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuelewa Mikataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
- Andika Mkataba Mahiri wako wa Kwanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity (inafunguka katika kichupo kipya)
Kufanya kazi na wateja wa Ethereum
Jifunze jinsi ya kutumia Web3j (inafunguka katika kichupo kipya) na Hyperledger Besu, wateja wawili wakuu wa Java Ethereum
- Kuunganisha kwa mteja wa Ethereum na Java, Eclipse, na Web3j (inafunguka katika kichupo kipya)
- Dhibiti akaunti ya Ethereum na Java na Web3j (inafunguka katika kichupo kipya)
- Tengeneza Kifuniko cha Java kutoka kwa Mkataba Mahiri wako (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kutangamana na Mkataba Mahiri wa Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kusikiliza Matukio ya Mkataba Mahiri wa Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kutumia Besu (Pantheon), Mteja wa Java Ethereum na Linux (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuendesha Nodi ya Hyperledger Besu (Pantheon) katika Majaribio ya Ujumuishaji ya Java (inafunguka katika kichupo kipya)
- Karatasi ya Marejeleo ya Web3j (inafunguka katika kichupo kipya)
Jifunze jinsi ya kutumia ethers-kt (inafunguka katika kichupo kipya), maktaba ya Kotlin yenye utendaji wa juu na isiyosawazishwa kwa ajili ya kutangamana na minyororo ya vitalu inayotegemea EVM. Inalenga majukwaa ya JVM na Android.
- Hamisho la tokeni za ERC-20 (inafunguka katika kichupo kipya)
- Badilishano la UniswapV2 na usikilizaji wa matukio (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kifuatiliaji cha salio la ETH / ERC-20 (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala ya kati
- Kudhibiti hifadhi katika programu ya Java na IPFS (inafunguka katika kichupo kipya)
- Dhibiti tokeni za ERC-20 katika Java na Web3j (inafunguka katika kichupo kipya)
- Wasimamizi wa Muamala wa Web3j (inafunguka katika kichupo kipya)
Mifumo ya matumizi ya hali ya juu
Miradi na zana za Java
- Web3j (Maktaba ya Kutangamana na Wateja wa Ethereum) (inafunguka katika kichupo kipya)
- ethers-kt (Maktaba ya Kotlin/Java/Android isiyosawazishwa, yenye utendaji wa juu kwa minyororo ya vitalu inayotegemea EVM.) (inafunguka katika kichupo kipya)
- Eventeum (Msikilizaji wa Matukio) (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mahuta (Zana za Wasanidi Programu za IPFS) (inafunguka katika kichupo kipya)
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.