Ethereum kwa Wasanidi wa Ruby
Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu-fiche na teknolojia ya mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuwa bila hitaji la uaminifu, ikimaanisha kwamba mara tu zinaposambazwa kwenye Ethereum, zitaendeshwa kila wakati kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti mali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kuwa zilizogatuliwa, ikimaanisha kuwa hakuna chombo au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzidhibiti.
Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Ruby na Ethereum
Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa Vitalu Umefafanuliwa (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuelewa Mikataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
- Andika Mkataba Mahiri wako wa Kwanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala ya wanaoanza
- Hatimaye kuelewa akaunti za Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Hatimaye Kuthibitisha Watumiaji wa Rails na MetaMask (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jinsi ya kuunganisha kwenye mtandao wa Ethereum kwa kutumia Ruby (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jinsi ya kuzalisha anwani mpya ya Ethereum katika Ruby (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala ya kati
- Programu ya Mnyororo wa Vitalu na Ruby (inafunguka katika kichupo kipya)
- Tumia Ruby, iliyounganishwa na Ethereum, kutekeleza Mkataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
Miradi na zana za Ruby
Inayotumika
- eth.rb (inafunguka katika kichupo kipya) - Maktaba ya Ruby na mteja wa RPC kushughulikia akaunti, jumbe, na miamala ya Ethereum
- keccak.rb (inafunguka katika kichupo kipya) - Heshi ya Keccak (SHA3) inayotumiwa na Ethereum
- siwe-ruby (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji wa Ruby wa Kuingia na Ethereum (SIWE)
- siwe-rails (inafunguka katika kichupo kipya) - Gem ya Rails inayoongeza njia za kuingia za ndani za SIWE
- siwe-rails-examples (inafunguka katika kichupo kipya) - Mfano wa SIWE unaotumia Ruby on Rails na kidhibiti maalum
- omniauth-siwe (inafunguka katika kichupo kipya) - Mkakati wa OmniAuth wa Kuingia na Ethereum (SIWE)
- omniauth-nft (inafunguka katika kichupo kipya) - Mkakati wa OmniAuth wa kuthibitisha kupitia umiliki wa NFT
- ethereum-on-rails (inafunguka katika kichupo kipya) - Kiolezo cha Ethereum on Rails kinachoruhusu kuunganisha MetaMask kwenye Ruby on Rails
Iliyohifadhiwa / Haidumishwi tena
- web3-eth (inafunguka katika kichupo kipya) - Kuita mbinu za RPC za nodi ya Ethereum kwa Ruby
- ethereum_tree (inafunguka katika kichupo kipya) - Maktaba ya Ruby ya kuzalisha anwani za ETH kutoka kwenye mkoba wa Hierarchical Deterministic kulingana na kiwango cha BIP32
- etherlite (inafunguka katika kichupo kipya) - Ujumuishaji wa Ethereum kwa Ruby on Rails
- ethereum.rb (inafunguka katika kichupo kipya) - Mteja wa Ethereum wa Ruby anayetumia kiolesura cha JSON-RPC kwa kutuma miamala, kuunda na kuingiliana na mikataba pamoja na zana muhimu za kufanya kazi na nodi ya Ethereum
- omniauth-ethereum.rb (inafunguka katika kichupo kipya) - Inatekeleza mkakati wa mtoa huduma wa Ethereum kwa OmniAuth
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ukurasa wetu wa nyumbani wa Wasanidi.
Wachangiaji wa jumuiya ya Ruby
Kikundi cha Telegram cha Ethereum Ruby (inafunguka katika kichupo kipya) ni mwenyeji wa jumuiya inayokua kwa kasi na ni rasilimali maalum kwa majadiliano kuhusu mradi wowote kati ya iliyo hapo juu na mada zinazohusiana.