Ruka hadi maudhui makuu

Programu tumizi

Gundua orodha ya programu tumizi zilizochaguliwa zinazoendeshwa kwenye Ethereum na mitandao ya tabaka la 2 (l2)

Vivutio

Gundua

Kategoria za programu tumizi

Fedha zilizogatuliwa (DeFi)

Fedha zilizogatuliwa (DeFi) ni kategoria ya programu tumizi zilizogatuliwa zinazoruhusu watumiaji kufanya ukopeshaji, ukopaji, biashara, na kupata riba kwenye rasilimali zao za kripto.

Vitu vya kukusanywa

Vitu vya kukusanywa ni rasilimali za kidijitali ambazo ni za kipekee na haziwezi kunakiliwa.

Kijamii

Kijamii ni kategoria ya programu tumizi zilizogatuliwa zinazoruhusu watumiaji kuungana na wengine na kushiriki maudhui.

Michezo

Michezo ni kategoria ya programu tumizi zilizogatuliwa zinazoruhusu watumiaji kucheza michezo na kupata zawadi.

Daraja

Daraja ni kategoria ya programu tumizi zilizogatuliwa zinazoruhusu watumiaji kuvusha rasilimali zao kati ya mitandao tofauti.

Tija

Tija ni kategoria ya programu tumizi zilizogatuliwa zinazoruhusu watumiaji kuwa na tija.

Faragha

Faragha ni kategoria ya programu tumizi zilizogatuliwa zinazoruhusu watumiaji kuwa na faragha.

DAO

DAO ni kategoria ya programu tumizi zilizogatuliwa zinazoruhusu watumiaji kutawala na kuunda mashirika yanayojitegemea na kugatuliwa.

Pendekeza programu tumizi

Daima tunatafuta programu tumizi mpya za kuongeza kwenye orodha yetu. Ikiwa unajua programu tumizi ambayo unafikiri inapaswa kuwa kwenye orodha, tafadhali tujulishe.

Pendekeza programu tumizi (inafunguka katika kichupo kipya)