Ethereum
msanidi programu
rasilimali
Mwongozo wa wajenzi wa Ethereum. Umeundwa na wajenzi, kwa wajenzi.

Je! Ungependa kuanza?
Jifunze utengenezaji wa Ethereum
Soma juu ya dhana za msingi na mpororo wa Ethereum na hati zetu
Jifunze kupitia mafunzo
Jifunze utengenezaji wa Ethereum hatua kwa hatua kutoka kwa wajenzi ambao tayari wameufanya.
Anza majaribio
Unataka kujaribu kwanza, uliza maswali baadaye?
Tengeneza mazingira
Andaa mpororo wako tayari kwa ujenzi kwa kusanidi mazingira ya utengenezaji.
Kuhusu rasilimali za msanidi programu
ethereum.org iko hapa kukusaidia kujenga na Ethereum na nyaraka juu ya dhana za msingi na pia safu ya maendeleo. Kwa kuongeza kuna mafunzo ya kukufanya uweze kujiendeleza.
Iliyotiwa moyo na Mtandao wa Wasanidi Programu wa Mozilla, tulifikiri Ethereum inahitaji mahali pa kuweka bidhaa na rasilimali bora za msanidi programu. Kama marafiki wetu huko Mozilla, kila kitu hapa ni chanzo-wazi na tayari kwako kutanua na kuboresha.
Ikiwa una maoni yoyote, tuwasiliane kupitia GitHub au kwenye seva yetu ya Discord. Jiunge Discord(opens in a new tab)
Chunguza nyaraka
Utangulizi
Utangulizi wa EthereumUtangulizi wa blockchain na Ethereum
Utangulizi wa EtherUtangulizi wa sarafu ya krypto na Ether
Utangulizi wa dappsUtangulizi wa programu zisiozo na mipaka
Utangulizi katika mpororoUtangulizi katika mpororo wa Ethereum
Wavuti-2 dhidi ya Wavuti-3Jinsi ulimwengu wa wavuti-3 wa maendeleo ni tofauti
Lugha za programuKutumia Ethereum na lugha zinazojulikana

Misingi
AkauntiMikataba au watu kwenye mtandao
MiamalaJinsi hali ya Ethereum inavyobadilika
VipandeMakundi ya shughuli zilizoongezwa kwenye pande la mnyororo
Mashine Dhahiri ya Ethereum(MDE)Tarakilishi inayoshughulikia mapatano
GesiEther inayohitajika kutoa nguvu kwa ajili ya mapatano
Nodi na watejaJinsi matofali na miamala inavyothibitishwa kwenye mtandao
MitandaoMuhtasari wa Mtandao Mkuu na mitandao ya majaribio
UchimbajiJinsi matofali mapya yanavyoundwa na makubaliano kufikiwa
Mining algorithmsInformation on Ethereum's mining algorithms
Mpororo
Mikataba erevuMantiki nyuma ya dapps - makubaliano yanayojitekeleza
Mfumo wa maendeleoZana za kusaidia kuharakisha maendeleo
Maktaba za javascriptUtumiaji wa javascript kuingiliana na mikatabaerevu
Mfumo wa nyuma wa programuKutumia maktaba kuingiliana na mikataba-erevu
Wachunguzi wa tofaliLango lako la data za Ethereum
Usalama wa mkataba erevuHatua za usalama za kuzingatia wakati wa utengenezwaji wa mikataba erevu
GhalaJinsi ya kushughulikia uhifadhi wa dapp
Mazingira ya maendeleoIDEs zinazo faa kwa maendeleo ya dapp
Ya hali ya juu
Viwango vya MithiliMuhtasari wa viwango vya mithili iliyokubalika
Thamani ya mchimbajiUtangulizi wa thamani inayoweza kutolewa kwa mchimbaji
ManenoKutoka nje ya mnyororo-data katika mikataba yako erevu
UongezwajiUfumbuzi wa miamala ya haraka
Networking LayerIntroduction to the Ethereum networking layer
Data structures and encodingIntroduction to the data structures and encoding schema used in the Ethereum stack