programu Gatuzi
Zana na huduma zinazoendeshwa na Ethereum
Dapps ni harakati inayokua ya programu zinazotumia Ethereum kutatiza miundo ya biashara au kuvumbua mpya.
Anza
Ili kujaribu dapp, utahitaji pochi na ETH. Pochi itakuruhusu kuunganisha, au kuingia. Na utahitaji ETH kulipa ada zozote za muamala.
Beginner friendly
A few dapps that are good for beginners. Explore more dapps below.
Uniswap
Badilisha tokeni zako kwa urahisi. Kipendwa cha jumuiya kinachokuruhusu kufanya biashara ya tokeni na watu kwenye mtandao. Muhtasari.
OpenSea
Nunua, uza, gundua na fanya biashara ya bidhaa zenye ukomo.
Gods Unchained
Kadi ya kimkakati ya mchezo wa biashara. Jishindie kadi kwa kucheza na unaweza kuuza kwenye maisha halisi.
Ethereum Name Service
Majina rafiki ya anunuani za Ethereum na tovuti zilizogatuliwa.
Chunguza dapps
Prograu nyingi zilizogatuliwa(dapps) bado ziko kwenye majaribio, upimaji wa uwezekano wa mitandaao iliogatuliwa. Lakii kumekuwepo na wahamaji wa mwanzo waliofanikiwa katika teknolojia, uchumi, michezo na vitengo mbali mbali vya viavyokusanyika.
Chagua kipengele
Fedha zilizogatuliwa (DeFi)
Hizi ni programu zinazolenga kujenga huduma za kifedha kwa kutumia sarafu za siri. Wanatoa upendeleo wa kukopesha, kukopa, kupata riba na malipo ya kibinafsi - hakuna data ya kibinafsi inayohitajika.
Mara zote fanya utafitit wako mwenyewe
Ethereum ni teknolojia mpya na matumizi mengi ni mapya. Kabla ya kuweka kiasi kikubwa cha pesa, hakikisha unaelewa hatari.Kukopa na kukopesha
- Nendato Aave website(opens in a new tab)AaveAzima tokeni zako ili kupata riba na uondoe wakati wowote.
- Nendato Compound website(opens in a new tab)CompoundAzima tokeni zako ili kupata riba na uondoe wakati wowote.
- Nendato Summer.fi website(opens in a new tab)Summer.fiTrade, borrow, and save with Dai, an Ethereum stablecoin.
- Nendato PWN website(opens in a new tab)PWNMikopo rahisi iliyoauniwa na tokeni yoyote ama NFT kwenye Ethereum.
- Nendato Yearn website(opens in a new tab)YearnYearn Finance ni mkusanyaji wa mapato. Kupatia watu binafsi, DAO na itifaki nyinginezo njia ya kuweka mali ya kidijitali na kupokea mapato.
- Nendato Convex website(opens in a new tab)ConvexConvex inaruhusu watoa huduma wa ukwasi wa Curve kupata ada za uuzaji na kudai mapato yalioongezwa ya CRV bila kuzifunga CRV yao.
Ubadilishwaji wa Ishara
- Nendato Uniswap website(opens in a new tab)UniswapBadilisha ishara kiurahisis au toa ishara kupata zawadi kwa silimia % kadhaa.
- Nendato Loopring website(opens in a new tab)LoopringJukwa la rika-kwa-rika lililojengwa kwa ajili ya kasi.
- Nendato Balancer website(opens in a new tab)BalancerBalancer ni kidhibiti cha kiotomatiki cha potifolio na ni jukwaa la biashara.
- Nendato Curve website(opens in a new tab)CurveCurve is a dex focused on stablecoins
- Nendato DODO website(opens in a new tab)DODODODO is a on-chain liquidity provider, which leverages the Proactive Market Maker algorithm (PMM)
Demand aggregators
- Nendato KyberSwap website(opens in a new tab)KyberSwapSwap and earn at the best rates.
- Nendato Matcha website(opens in a new tab)MatchaInatafuta majukwaa tofauti tofauti kukupatia wewe bei ilobora zaidi.
- Nendato 1inch website(opens in a new tab)1inchInakusaidia kukwepa bei ghali za kutelezza kwa kutafuta bei zinazofaa zaidi.
Bridges
- Nendato Rubic website(opens in a new tab)RubicCross-Chain tech aggregator for users and dApps.
Uwekezaji
- Nendato Token Sets website(opens in a new tab)Token SetsMikakati ya uwekezaji ya Crypto ambayo inasawazisha kiotomatiki.
- Nendato PoolTogether website(opens in a new tab)PoolTogetherBahati nasibu usioweza kuipoteza. Tuzo za kila wiki.
- Nendato Index Coop website(opens in a new tab)Index CoopHazina ya faharasa ya crypto ambayo hutoa kwingineko yako kufichua tokeni za juu za DeFi.
- Nendato Yearn website(opens in a new tab)YearnYearn Finance ni mkusanyaji wa mapato. Kupatia watu binafsi, DAO na itifaki nyinginezo njia ya kuweka mali ya kidijitali na kupokea mapato.
- Nendato Convex website(opens in a new tab)ConvexConvex inaruhusu watoa huduma wa ukwasi wa Curve kupata ada za uuzaji na kudai mapato yalioongezwa ya CRV bila kuzifunga CRV yao.
Uwekezaji
- Nendato Zapper website(opens in a new tab)ZapperFuatilia kwingineko yako na utumie anuwai ya bidhaa za DeFi kutoka kiolesura kimoja.
- Nendato Zerion website(opens in a new tab)ZerionDhibiti kwingineko yako na utathmini kwa urahisi kila kipengee cha DeFi kwenye soko.
- Nendato Rotki website(opens in a new tab)RotkiZana ya ufuatiliaji wa jalada huria, uchanganuzi, uhasibu na kuripoti kodi ambayo inaheshimu faragha yako.
- Nendato Krystal website(opens in a new tab)KrystalJukwaa moja kwa linalokupa ufikiaji wa huduma za DeFi uzipendazo.
Bima
- Nendato Nexus Mutual website(opens in a new tab)Nexus MutualChanjo bila kampuni ya bima. Jilinde dhidi ya hitilafu na udukuzi wa mikataba mahiri.
- Nendato Etherisc website(opens in a new tab)EtheriscKiolezo cha bima iliyogatuliwa ambayo mtu yeyote anaweza kutumia kuunda bima yake mwenyewe.
Malipo
- Nendato Sablier website(opens in a new tab)SablierPata mtiririko wa hela katika wakati halisi.
- Nendato Request Finance website(opens in a new tab)Request FinanceA suite of financial tools for crypto invoices, payroll, and expenses.
Ufadhili wa Umati
- Nendato Gitcoin Grants website(opens in a new tab)Gitcoin GrantsUfadhili wa watu wengi kwa ajili ya miradi ya wana-Ethereum na michango iliokuzwa
Derivatives
- Nendato Synthetix website(opens in a new tab)SynthetixSynthetix ni itifaki ya utoaji wa na ufanyaji biashara wa amali asili
Liquid staking
- Nendato Lido website(opens in a new tab)LidoSimplified and secure staking for digital assets.
- Nendato Ankr website(opens in a new tab)AnkrSet of different Web3 infrastructure products for building, earning, gaming, and more — all on blockchain.
Biashara na utabiri wa masoko
- Nendato Polymarket website(opens in a new tab)PolymarketWeka dau juiu ya matokeo. Fanya biashara juu ya taarifa za masoko.
- Nendato Synthetix website(opens in a new tab)SynthetixSynthetix ni itifaki ya utoaji wa na ufanyaji biashara wa amali asili
Want to browse more apps?
Uchawi nyuma fedha zilizogatuliwa (DeFi)
Je, ni nini kuhusu Ethereum inayoruhusu maombi ya fedha yaliyogatuliwa kustawi?
Ufikiaji ulio wazi
Huduma za kiuchumi zinazoendeshwa juu ya Ethereum hazihitaji usajili. kama una pesa na mtandao uko vizuri kufanya shughuli zako.
Uchumi mpya wa ishara
Kuna ulimwengu mzima wa ishara ambazo unaweza kuwasiliana nazo kwenye bidhaa hizi za kifedha. Watu wanajenga tokeni mpya juu ya Ethereum kila wakati.
Sarafu-imara
Timu zimeunda sarafu za sarafu - sarafu ya siri isiyobadilika sana. Hizi hukuruhusu kufanya majaribio na kutumia crypto bila hatari na kutokuwa na uhakika.
Huduma za kifedha zilizounganishwa
Bidhaa za kifedha katika nafasi ya Ethereum zote ni za msimu na zinaendana. Mipangilio mipya ya moduli hizi inagonga soko kila wakati, na kuongeza kile unachoweza kufanya na crypto yako.
Uchawi nyuma ya dapps
Dapps inaweza kuhisi kama programu za kawaida. Lakini nyuma ya pazia wana sifa maalum kwa sababu wanarithi nguvu zote za Ethereum. Hiki ndicho kinachofanya dapps kuwa tofauti na programu.
Ni nini kinachofanya Ethereum kuwa nzuri?Hamna wamiliki
Mara msimbo wa dapp utakapozinduliwa kwenye Ethereum, haiitawezekana kuuondoa. Na mtu yeyote anaweza kutumia huduma za dapps. Hata kama timu ilio nyuma ya dapp imekutoa bado unaweza kuitumia. Pale inapokua kwenye ethereum, inakaa hapo hapo.
Isio na udhibiti
Malipo yaliyojumuishwa
Chomekaa na ucheze
Kuingia moja bila jina
Inalindwa na kriptografia
Haishuki mtandaoni
Jinsi dapps inavyofanya kazi
Dapps wana msimbo wao wa nyuma (mikataba mahiri) inayoendeshwa kwenye mtandao uliogatuliwa na si seva ya kati. Wanatumia blockchain ya Ethereum kwa kuhifadhi data na mikataba mahiri kwa mantiki ya programu zao.
Mkataba erevu ni kama seti ya sheria zinazotumika kwa kila mtu kuona na kutekelezwa kulingana na sheria hizo. Hebu fikiria mashine ya kuuza: ikiwa utaisambaza kwa fedha za kutosha na uteuzi sahihi, utapata bidhaa unayotaka. Na kama vile mashine za kuuza, kandarasi mahiri zinaweza kuhifadhi pesa kama vile akaunti yako ya Ethereum. Hii inaruhusu msimbo kupatanisha makubaliano na shughuli.
Mara dapps zinapotumika kwenye mtandao wa Ethereum huwezi kuzibadilisha. Dapps zinaweza kugatuliwa kwa sababu zinadhibitiwa na mantiki iliyoandikwa kwenye mkataba, si mtu binafsi au kampuni.