Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Miongozo ya Ethereum

Mkusanyiko wa miongozo ya vitendo inayoelezea misingi ya kutumia Ethereum kwa wanaoanza.

Je, unataka kuanza safari yako ya Ethereum? Miongozo yetu ya vitendo inakuongoza hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kuanza, na kurahisisha kutumia teknolojia hii mpya.

Kuanza

  1. Jinsi ya "kuunda" akaunti ya Ethereum - Mtu yeyote anaweza kuunda mkoba bila malipo. Mwongozo huu utakuonyesha wapi pa kuanzia.

  2. Jinsi ya kutumia mkoba - Jifunze jinsi ya kutuma na kupokea tokeni kwenye mkoba wako na jinsi ya kuunganisha mkoba kwenye miradi.

Misingi ya usalama

  1. Jinsi ya kubatilisha ufikiaji wa mkataba mahiri kwenye fedha zako za kripto - Ikiwa ghafla utaona muamala kwenye mkoba wako ambao hukuanzisha, mwongozo huu utakufundisha jinsi ya kuzuia hilo lisitokee tena.

  2. Jinsi ya kutambua tokeni za utapeli - Tokeni za utapeli ni nini? Je, zinajifanyaje kuonekana halali, na unazitambuaje ili kujilinda na kuepuka kutapeliwa?

Kutumia Ethereum

  1. Jinsi ya kuvusha tokeni kwenye tabaka la 2 (l2) - Je, miamala ya Ethereum ni ya gharama kubwa sana? Fikiria kuhamia kwenye suluhisho za kuongeza uwezo za Ethereum zinazoitwa tabaka la 2 (l2).

  2. Jinsi ya kubadilisha tokeni - Je, unataka kubadilisha tokeni zako kwa nyingine tofauti? Mwongozo huu rahisi utakuonyesha jinsi ya kufanya hivyo.

Ukurasa ulisasishwa mwisho: 3 Aprili 2026