
Beji
Vitu vya Kukusanywa vya Ethereum.org
Thibitisha kuwa ulifanya kazi kwenye ethereum.org, mnyororoni.
Boresha ethereum.org
Jipatie NFT za kipekee kwa kusaidia kudumisha na kupanua tovuti ya ethereum.org. Beji hizi zinatambua ushiriki wako mnyororoni.
Wamiliki wakuu hupata zawadi za mchangiaji (opens in a new tab) au tiketi zilizopunguzwa bei kwa matukio kama Devcon. Beji zako za mnyororoni hurahisisha wengine kukuunga mkono.
4,452
Zilizotengenezwa
2,503
Wakusanyaji
114
Beji za Kipekee