Ethereum kwa wasanidi programu wa Delphi
Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya teknolojia ya sarafu-fiche na mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zikishasambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti rasilimali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu tumizi za kifedha. Zinaweza kuwa zilizogatuliwa, ikimaanisha kwamba hakuna taasisi au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzizuia.
Jenga programu tumizi zilizogatuliwa juu ya Ethereum na uwasiliane na mikataba mahiri ukitumia lugha ya programu ya Delphi!
Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Delphi na Ethereum
Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa Vitalu Umefafanuliwa (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuelewa Mikataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
- Andika Mkataba wako Mahiri wa Kwanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity (inafunguka katika kichupo kipya)
Marejeleo na viungo vya wanaoanza
Kutambulisha maktaba ya Delphereum
- Delphereum ni nini? (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuunganisha Delphi kwenye mnyororo wa vitalu wa ndani (kwenye kumbukumbu) (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuunganisha Delphi kwenye Mtandao Mkuu wa Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuunganisha Delphi kwenye Mikataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
Unataka kuruka usanidi kwa sasa, na uende moja kwa moja kwenye sampuli?
- Mkataba Mahiri wa dakika 3 na Delphi - Sehemu ya 1 (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mkataba Mahiri wa dakika 3 na Delphi - Sehemu ya 2 (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala ya kiwango cha kati
- Kuzalisha sahihi ya ujumbe uliotiwa saini na Ethereum katika Delphi (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuhamisha Etha kwa kutumia Delphi (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuhamisha tokeni za ERC-20 kwa kutumia Delphi (inafunguka katika kichupo kipya)
Miundo ya matumizi ya hali ya juu
- Delphi na Huduma ya Jina la Ethereum (ENS) (inafunguka katika kichupo kipya)
- QuikNode, Ethereum na Delphi (inafunguka katika kichupo kipya)
- Delphi na Msitu wa Giza wa Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Badilisha tokeni moja kwa nyingine katika Delphi (inafunguka katika kichupo kipya)
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.