Ethereum kwa Wasanidi wa Python
Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia faida za sarafu-fiche na teknolojia ya mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zikishasambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti mali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kuwa zilizogatuliwa, ikimaanisha kwamba hakuna taasisi au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzidhibiti.
Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Python na Ethereum
Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa Vitalu Umefafanuliwaย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuelewa Mikataba Mahiriย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Andika Mkataba wako Mahiri wa Kwanzaย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidityย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Ripoti ya hali ya Python katika mnyororo wa vitalu ya 2023ย (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala ya wanaoanza
- Muhtasari wa Web3.pyย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Ziara ya Mfumo wa Ikolojia wa Ethereum Pythonย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mwongozo wa Msanidi (Python) kwa Ethereumย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Inayostahili Tuzo: Mwongozo wa Hackathon ya Ethereum Pythonย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Utangulizi wa Mikataba Mahiri na Vyperย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jinsi ya kusanidi mkataba wa Ethereum kwa kutumia Python Flask?ย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Utangulizi wa Web3.py ยท Ethereum Kwa Wasanidi wa Pythonย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jinsi ya kuita utendakazi wa Mkataba Mahiri kwa kutumia Python na Web3.pyย (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala ya kati
- Marafiki wa Web3.py: Utangulizi wa Apeย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Usanidi wa Dapp kwa Watengenezaji wa Programu za Pythonย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuunda Kiolesura cha Python Ethereum: Sehemu ya 1ย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mikataba Mahiri ya Ethereum katika Python: mwongozo (kiasi) wa kinaย (inafunguka katika kichupo kipya)
Miundo ya matumizi ya hali ya juu
- Miundo ya Web3.py: Usajili wa Matukio ya Wakati Halisiย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Miundo ya Web3.py: WebSocketProviderย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kukusanya, kusambaza na kuita mkataba mahiri wa Ethereum kwa kutumia Pythonย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Changanua Mikataba Mahiri ya Solidity na Slitherย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mafunzo ya Fintech ya Mnyororo wa Vitalu: Ukopeshaji na Ukopaji kwa Pythonย (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala yaliyohifadhiwa
- Sambaza Tokeni yako ya ERC-20 kwa Python na Brownieย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kutumia Brownie na Python kusambaza Mikataba Mahiriย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuunda NFT kwenye OpenSea na Brownieย (inafunguka katika kichupo kipya)
Miradi na zana za Python
- Web3.pyย (inafunguka katika kichupo kipya) - Maktaba ya Python ya kuingiliana na Ethereum
- Vyperย (inafunguka katika kichupo kipya) - Lugha ya Mkataba Mahiri ya Kipython kwa ajili ya EVM
- Titanoboaย (inafunguka katika kichupo kipya) - Zana asili ya kujaribu ya Vyper; mkalimani aliye na ugawaji wa Mtandao Mkuu, utatuzi, na ufuatiliaji mzuri
- Moccasinย (inafunguka katika kichupo kipya) - Mfumo wa usanidi na majaribio wa mkataba mahiri kwa ajili ya Vyper na Python, uliojengwa kwenye Titanoboa
- Apeย (inafunguka katika kichupo kipya) - Zana ya usanidi wa mkataba mahiri kwa Wapython, Wanasayansi wa Data, na Wataalamu wa Usalama
- py-evmย (inafunguka katika kichupo kipya) - utekelezaji wa Mashine Pepe ya Ethereum
- eth-testerย (inafunguka katika kichupo kipya) - zana za kujaribu programu tumizi zinazotegemea Ethereum
- eth-utilsย (inafunguka katika kichupo kipya) - utendakazi wa matumizi kwa ajili ya kufanya kazi na misingi ya msimbo inayohusiana na Ethereum
- py-solc-xย (inafunguka katika kichupo kipya) - Kifuniko cha Python kwenye kikusanyaji cha solc cha Solidity chenye usaidizi wa 0.5.x
- pymakerย (inafunguka katika kichupo kipya) - API ya Python kwa ajili ya mikataba ya Maker
- siweย (inafunguka katika kichupo kipya) - Ingia kwa kutumia Ethereum (SIWE) kwa ajili ya Python
- Fedha zilizogatuliwa (DeFi) za Web3 kwa ajili ya miunganisho ya Ethereumย (inafunguka katika kichupo kipya) - Kifurushi cha Python chenye miunganisho tayari kwa ajili ya ERC-20, Uniswap na miradi mingine maarufu
- Wakeย (inafunguka katika kichupo kipya) - Mfumo wa Python wa kila kitu kwa ajili ya majaribio ya mikataba, fuzzing, usambazaji, uchunguzi wa udhaifu na urambazaji wa msimbo (seva ya lugha - Zana za Solidityย (inafunguka katika kichupo kipya))
- DeFiPyย (inafunguka katika kichupo kipya) - SDK ya Python kwa ajili ya uchanganuzi wa DeFi na uigaji wa kitengeneza soko cha kiotomatiki (AMM) kwenye Uniswap V2/V3, Balancer, na Curve
Zilizohifadhiwa / Hazitunzwi tena:
- Trinityย (inafunguka katika kichupo kipya) - Mteja wa Ethereum Python
- Mambaย (inafunguka katika kichupo kipya) - mfumo wa kuandika, kukusanya, na kusambaza mikataba mahiri iliyoandikwa kwa lugha ya Vyper
- Brownieย (inafunguka katika kichupo kipya) - Mfumo wa Python wa kusambaza, kujaribu na kuingiliana na mikataba mahiri ya Ethereum
- pydevp2pย (inafunguka katika kichupo kipya) - utekelezaji wa rundo la P2P la Ethereum
- py-wasmย (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji wa Python wa mkalimani wa web assembly
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.
Miradi inayotumia zana za Python
Miradi ifuatayo inayotegemea Ethereum inatumia zana zilizotajwa kwenye ukurasa huu. Hifadhi zinazohusiana za chanzo huria hutumika kama rejeleo zuri kwa msimbo wa mfano na mbinu bora.
- Yearn Financeย (inafunguka katika kichupo kipya) na hifadhi ya Mikataba ya Hifadhi ya Yearnย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Curveย (inafunguka katika kichupo kipya) na hifadhi ya mikataba mahiri ya Curveย (inafunguka katika kichupo kipya)
- BadgerDAOย (inafunguka katika kichupo kipya) na mikataba mahiri inayotumia msururu wa zana wa Brownieย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Sushiย (inafunguka katika kichupo kipya) inatumia Python katika kudhibiti na kusambaza mikataba yao ya umilikishaji wa kimudaย (inafunguka katika kichupo kipya)
- Alpha Financeย (inafunguka katika kichupo kipya), maarufu kwa Alpha Homora, inatumia Brownie kujaribu na kusambaza mikataba mahiriย (inafunguka katika kichupo kipya)
Majadiliano ya Jamii ya Python
- Discord ya Jamii ya Ethereum Pythonย (inafunguka katika kichupo kipya) kwa majadiliano ya Web3.py na mifumo mingine ya Python
- Discord ya Vyperย (inafunguka katika kichupo kipya) kwa majadiliano ya upangaji wa mkataba mahiri wa Vyper
Orodha zingine zilizojumuishwa
Wiki ya Vyper ina orodha nzuri ya rasilimali kwa Vyperย (inafunguka katika kichupo kipya)