Ethereum kwa wasanidi programu wa Rust
Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu-fiche na teknolojia ya mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba zikishasambazwa kwenye Ethereum, zitafanya kazi kila wakati kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti rasilimali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kuwa zilizogatuliwa, ikimaanisha kwamba hakuna shirika au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzidhibiti kimabavu.
Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Rust na Ethereum
Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa Vitalu Umefafanuliwa (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuelewa Mikataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
- Andika Mkataba wako Mahiri wa Kwanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala za wanaoanza
- Mteja wa Ethereum wa Rust (inafunguka katika kichupo kipya) * Kumbuka kwamba OpenEthereum imeachwa kutumika (inafunguka katika kichupo kipya) na haitunzwi tena. Itumie kwa tahadhari na ikiwezekana badilisha utumie utekelezaji mwingine wa mteja.
- Kutuma Muamala kwenye Ethereum Ukitumia Rust (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mafunzo ya hatua kwa hatua ya jinsi ya kuandika mikataba katika Wasm ya Rust kwa Kovan (inafunguka katika kichupo kipya)
Makala za kiwango cha kati
Miundo ya matumizi ya hali ya juu
-
Jenga Soga Iliyogatuliwa Ukitumia JavaScript na Rust (inafunguka katika kichupo kipya)
-
Jenga mnyororo wa vitalu katika Rust (inafunguka katika kichupo kipya)
Miradi na zana za Rust
- pwasm-ethereum (inafunguka katika kichupo kipya) - Mkusanyiko wa externs ili kuingiliana na mtandao unaofanana na Ethereum
- Lighthouse (inafunguka katika kichupo kipya) - Mteja wa haraka wa tabaka la mwafaka la Ethereum
- Ethereum WebAssembly (inafunguka katika kichupo kipya) - Usanifu mpya uliopendekezwa wa tabaka la utekelezaji la mkataba mahiri wa Ethereum kwa kutumia kitengo kidogo cha WebAssembly
- oasis_std (inafunguka katika kichupo kipya) - Rejeleo la API ya OASIS
- Solaris (inafunguka katika kichupo kipya) - Zana ya majaribio ya Mikataba Mahiri ya Solidity kwa kutumia EVM asili ya Mteja wa Parity.
- SputnikVM (inafunguka katika kichupo kipya) - Utekelezaji wa Mashine Pepe ya Ethereum ya Rust
- Wavelet (inafunguka katika kichupo kipya) - Mkataba mahiri wa Wavelet katika Rust
- Foundry (inafunguka katika kichupo kipya) - Zana za uundaji wa programu tumizi za Ethereum
- Alloy (inafunguka katika kichupo kipya) - Maktaba zenye utendaji wa juu, zilizojaribiwa vizuri na kurekodiwa kwa ajili ya kuingiliana na Ethereum na minyororo mingine inayotegemea EVM.
- Ethers_rs (inafunguka katika kichupo kipya) - Maktaba ya Ethereum na utekelezaji wa mkoba
- SewUp (inafunguka katika kichupo kipya) - Maktaba ya kukusaidia kujenga mkataba wako wa webassembly wa Ethereum ukitumia Rust na kama vile kusanidi katika mazingira ya nyuma ya kawaida
- Substreams (inafunguka katika kichupo kipya) - Teknolojia ya kuorodhesha data ya mnyororo wa vitalu iliyosambamba
- Reth (inafunguka katika kichupo kipya) Reth (kifupi cha Rust Ethereum) ni utekelezaji mpya wa nodi kamili ya Ethereum
- Awesome Ethereum Rust (inafunguka katika kichupo kipya) - Mkusanyiko ulioratibiwa wa miradi katika mfumo wa ikolojia wa Ethereum iliyoandikwa katika Rust
- Stylus (inafunguka katika kichupo kipya) - SDK ya Rust ya kujenga mikataba mahiri kwenye Arbitrum
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.