Ethereum kwa wasanidi programu wa .NET
Tumia Ethereum kuunda programu tumizi zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia faida za sarafu-fiche na teknolojia ya mnyororo wa vitalu. Dapps hizi zinaweza kuaminika, ikimaanisha kwamba mara tu zikishasambazwa kwenye Ethereum, zitaendelea kufanya kazi kama zilivyopangwa. Zinaweza kudhibiti rasilimali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, ikimaanisha kwamba hakuna taasisi au mtu mmoja anayezidhibiti na ni karibu haiwezekani kuzizuia.
Jenga programu tumizi zilizogatuliwa juu ya Ethereum na uwasiliane na mikataba mahiri ukitumia zana na lugha kutoka kwa mrundikano wa teknolojia wa Microsoft - Inayounga mkono C#, # Visual Basic .NET, F#, kwenye zana kama vile VSCode na Visual Studio, katika .NET Framework/.NET Core/.NET Standard. Sambaza mnyororo wa vitalu wa Ethereum kwenye Azure ukitumia Microsoft Azure Blockchain kwa dakika chache. Leta upendo wa .NET kwenye Ethereum!
Kuanza na mikataba mahiri na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha .NET na Ethereum
Je, unahitaji mwongozo wa kimsingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa Vitalu Umefafanuliwa (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuelewa Mikataba Mahiri (inafunguka katika kichupo kipya)
- Andika Mkataba wako Mahiri wa Kwanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Jifunze Jinsi ya Kukusanya na Kusambaza Solidity (inafunguka katika kichupo kipya)
Marejeleo na viungo vya wanaoanza
Kutambulisha maktaba ya Nethereum na VS Code Solidity
- Nethereum, Kuanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kusakinisha VS Code Solidity (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mtiririko wa Kazi wa Msanidi Programu wa .NET wa Kuunda na Kuita Mikataba Mahiri ya Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Ujumuishaji wa mikataba mahiri na Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuunganisha .NET na Mikataba Mahiri ya Mnyororo wa Vitalu wa Ethereum na Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya), pia katika 中文版 (inafunguka katika kichupo kipya)
- Nethereum - Maktaba ya ujumuishaji ya .NET ya chanzo wazi kwa mnyororo wa vitalu (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kuandika Miamala ya Ethereum kwenye Hifadhidata ya SQL Kwa Kutumia Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Tazama jinsi ya kusambaza mikataba mahiri ya Ethereum kwa urahisi ukitumia C# na VisualStudio (inafunguka katika kichupo kipya)
Unataka kuruka usanidi kwa sasa, na uruke moja kwa moja kwenye sampuli?
- Nethereum Playground (inafunguka katika kichupo kipya) - Wasiliana na Ethereum na ujifunze jinsi ya kutumia Nethereum kupitia kivinjari.
Makala ya kati
- Nethereum Kuanza & Mradi wa Kwanza (inafunguka katika kichupo kipya)
- Sambaza Minyororo Yako Mwenyewe ya Majaribio ya Maendeleo (inafunguka katika kichupo kipya)
- Uzalishaji wa msimbo ukitumia Nethereum na VS Code (inafunguka katika kichupo kipya)
- Unity na Ethereum: Kwa nini na Jinsi gani (inafunguka katika kichupo kipya)
- Unda API ya Wavuti ya ASP.NET Core kwa programu tumizi zilizogatuliwa (dapps) za Ethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Mfumo wa Nethereum MUD kwa programu tumizi zilizopangwa mnyororoni (inafunguka katika kichupo kipya)
- Uchakataji wa Mnyororo wa Vitalu wa Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Utiririshaji wa wakati halisi wa Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Kaleido na Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Quorum na Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
Miundo ya matumizi ya hali ya juu
- Hifadhi ya Ufunguo ya Azure na Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
- Nethereum.DappHybrid (inafunguka katika kichupo kipya)
- Usanifu wa marejeleo wa mandhari-nyuma ya Ujo Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
Miradi ya .NET, zana na mambo mengine ya kufurahisha
- Nethereum Playground (inafunguka katika kichupo kipya) - Kusanya, unda, na uendeshe vijisehemu vya msimbo wa Nethereum kwenye kivinjari
- Nethereum Codegen Blazor (inafunguka katika kichupo kipya) - Codegen ya Nethereum yenye UI katika Blazor
- Nethereum Blazor (inafunguka katika kichupo kipya) - Kichunguzi chepesi cha mnyororo wa vitalu cha .NET Wasm SPA na mkoba rahisi
- Wonka Business Rules Engine (inafunguka katika kichupo kipya) - Injini ya sheria za biashara (kwa jukwaa la .NET na jukwaa la Ethereum) ambayo kiasili inaendeshwa na data fafanuzi
- Nethermind (inafunguka katika kichupo kipya) - Mteja wa Ethereum wa .NET Core kwa Linux, Windows, MacOS
- eth-utils (inafunguka katika kichupo kipya) - vitendaji vya matumizi kwa kufanya kazi na misingi ya msimbo inayohusiana na Ethereum
- TestChains (inafunguka katika kichupo kipya) - Minyororo ya maendeleo ya .NET iliyosanidiwa mapema kwa majibu ya haraka (uthibitisho wa mamlaka (PoA))
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.
Wachangiaji wa jumuiya ya .NET
Katika Nethereum, mara nyingi tunapatikana kwenye Gitter (inafunguka katika kichupo kipya) ambapo kila mtu anakaribishwa kuuliza/kujibu maswali, kupata msaada, au kupumzika tu. Jisikie huru kufanya PR au kufungua suala kwenye hazina ya GitHub ya Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya), au pitia tu miradi mingi ya kando/sampuli tuliyonayo. Unaweza pia kutupata kwenye Discord (inafunguka katika kichupo kipya)!
Ikiwa wewe ni mgeni kwa Nethermind na unahitaji msaada wa kuanza, jiunge na Discord (inafunguka katika kichupo kipya) yetu. Wasanidi programu wetu wapo tayari kujibu maswali yako. Usisite kufungua PR au kuibua masuala yoyote kwenye hazina ya GitHub ya Nethermind (inafunguka katika kichupo kipya).
Orodha nyingine zilizojumuishwa
Tovuti Rasmi ya Nethereum (inafunguka katika kichupo kipya)
Tovuti Rasmi ya Nethermind (inafunguka katika kichupo kipya)