Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Kuwezesha Waanzilishi kwenye Ethereum

Kitovu maalum kwa wajasiriamali kufikia programu, ushauri, na mwonekano katika mfumo wa ikolojia wa Ethereum, kikiwapa waanzilishi usaidizi wanaohitaji katika kila hatua.

Tuma maombi ya usaidizi

Chagua njia yako na uelekezwe kwenye hatua inayofuata inayofaa zaidi.

Optimism Atlas

Inayoendelea
Programu ya Ruzuku
Ruzuku za Ukaguzi
Bidhaa za Umma

Usaidizi kwa wajenzi binafsi na timu zinazotengeneza programu za mnyororoni, zana, na miundombinu ili kuendeleza Superchain.

Minyororo 19 inayostahiki

Miradi 700+ inayoungwa mkono

Tembelea Optimism
 (inafunguka katika kichupo kipya)

Base

Inayoendelea
Programu ya Ruzuku
Zana na Miundombinu

Ruzuku za Wajenzi ni majaribio yanayoendelea ili kuwatambua wajenzi wa Base.

Ruzuku za ETH 1-5

Tembelea Base
 (inafunguka katika kichupo kipya)

Ecosystem Support Program

Inayoendelea
Programu ya Ruzuku
Bidhaa za Umma
Zana na Miundombinu
Matukio

Kutenga rasilimali kwa miradi muhimu, kuwa sauti inayothaminiwa ndani ya mfumo wa ikolojia wa Ethereum, na kutetea Ethereum kwa ulimwengu wa nje.

Miradi 2,000+ inayoungwa mkono

Tembelea ESP
 (inafunguka katika kichupo kipya)

Arbitrum

Inayoendelea
Programu ya Ruzuku
Ruzuku za Ukaguzi
Zana na Miundombinu

Dhamira ni kuwawezesha wasanidi programu na wajasiriamali kujenga programu tumizi zilizogatuliwa (dapps) zenye matokeo chanya zinazotumia uwezo wa mtandao wa Arbitrum

Miradi 300+ inayoungwa mkono

Tembelea Arbitrum
 (inafunguka katika kichupo kipya)

Unichain

Inayoendelea
Programu ya Ruzuku
Ruzuku za Ukaguzi
Zana na Miundombinu

Mfululizo wa programu na rasilimali zilizoundwa kusaidia jumuiya inayoibuka ya wasanidi programu wa Unichain

Taratibu mpya za fedha zilizogatuliwa (DeFi)

Tembelea Unichain
 (inafunguka katika kichupo kipya)

Polygon

Inayoendelea
Programu ya Ruzuku
Zana na Miundombinu

Programu ya ruzuku ya jumuiya kusaidia wajenzi, timu, na wabunifu waliojitolea kukuza Polygon

Kujenga au kuhamia Polygon

Tembelea Polygon
 (inafunguka katika kichupo kipya)