Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Kagua anwani ya mkataba wa amana

Hii ndiyo anwani ya mkataba wa uwekaji dhamana wa Ethereum. Tumia ukurasa huu kuthibitisha kuwa unatuma fedha kwenye anwani sahihi unapoweka dhamana.

Hapa sio mahali unapoweka dhamana

Ili kuweka dhamana ya ETH yako lazima utumie bidhaa maalum ya launchpad na ufuate maagizo. Kutuma ETH kwenye anwani iliyo kwenye ukurasa huu hakutakufanya uwe muweka dhamana na kutasababisha muamala uliofeli. Zaidi kuhusu uwekaji dhamana

Weka dhamana ukitumia launchpad (opens in a new tab)

Kagua vyanzo hivi

Tunatarajia kutakuwa na anwani nyingi feki na ulaghai huko nje. Ili kuwa salama, kagua anwani ya mkataba wa uwekaji dhamana unayotumia dhidi ya anwani iliyo kwenye ukurasa huu. Tunapendekeza uikague na vyanzo vingine vya kuaminika pia.

Kagua anwani ya mkataba wa amana

Thibitisha ili kufichua anwani

Kutuma fedha kwenye anwani hii hakutafanya kazi na hakutakufanya uwe muweka dhamana. Lazima ufuate maagizo ya launchpad. Tumia launchpad (opens in a new tab)