Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Kusherehekea miaka 10 ya upinzani dhidi ya udhibitiethereum

Muongo mmoja wa kubadilisha ulimwengu kitalu kimoja baada ya kingine

Mnamo Julai 30, 2015, kiambajengo cha Ethereum kilizaliwa. Wakati kitalu cha mwanzo kilipochimbwa, kiliwezesha uwezekano mpya kwa intaneti, na kuleta mabadiliko makubwa katika fedha, umiliki, na uwezo wa kupangwa.

Miaka kumi imepita, umilele mbele.

Kuunda wakati huu

Sherehekea muongo wa mfumo mtawanyo na NFT ya bure, ya muda mfupi ya maadhimisho ya miaka 10. Unda yako kabla ya muda kuisha.

Jiunge na matangazo ya moja kwa moja

Côte D'Ivoire

Democratic Republic of the Congo

Ghana

Accra
Ethereum in Ghana - Celebrating 10 years of Ethereum
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)

Kenya

Kilifi
ETH @10: A Decade of Decentralization
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)
Kisumu
Celebrating 10 Years of Ethereum - Kisumu Edition
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)
Nairobi
Ethereum 10yr anniversary Nairobi
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)

Nigeria

Kaduna
Ethereum 10th Anniversary Meetup: Reflecting on a Decade, Building the Future
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)
Lagos
Celebrating Ethereum at 10 - Web3bridge
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)
Enugu
Celebrating Ethereum At 10 - Greenpill Nigeria (Enugu)
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)

South Africa

Cape Town
Greenpill Cape Town
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)
Cape Town
Ethereum 10Y Anniversary Cape Town
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)

Togo

Lomé
Africa Blockchain Community
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)

Uganda

Kampala
Ethereum @10 Kampala
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)
Entebbe
10 Years of Ethereum - Enttebe
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)

Zimbabwe

Harare
Built Different Foundation
Nenda kwenye tukio (opens in a new tab)

Ili kuadhimisha hatua hii ya kihistoria, tunatambulisha Ethereum Torch NFT NFT inayojumuisha roho ya mfumo mtawanyo na jamii ambayo imefafanua muongo wa kwanza wa Ethereum.

Kama mwali wa sherehe unaosafiri kutoka jamii hadi jamii, Mwenge wa Ethereum utafanya safari katika mfumo wa ikolojia wa kimataifa wa Ethereum. NFT hii maalum itapitishwa kutoka mkoba hadi mkoba kati ya wanajamii, wasanidi programu, na wajenzi waliochaguliwa kwa uangalifu ambao wameunda hadithi ya Ethereum katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

Ya aina yake:

Kuna Ethereum Torch NFT moja tu, na kufanya kila mshikiliaji kuwa mlinzi wa muda wa urithi wa Ethereum

Ulinzi wa muda mfupi:

Kila mshikiliaji huweka mwenge kwa saa 24 kabla ya kuupitisha kwa mlinzi anayefuata. Mnamo Julai 30 NFT hii itachomwa ili kusherehekea maadhimisho.

Miaka 10 yaUbunifu

Ethereum ilibadilisha kiambajengo kwa kuanzisha mikataba mahiri

Pamoja na Ethereum, blockchains zilibadilika kutoka leja ya kidijitali, kuwa jukwaa linaloweza kupangwa ambapo msimbo hutekelezwa kiotomatiki wakati masharti yanapofikiwa.

Ubunifu wa Ethereum uliwezesha viwanda vipya kabisa kama DeFi, NFTs, na DAOs. Ilipanua kiambajengo zaidi ya sarafu ya kidigitali kuwa jukwaa ambalo lilifikiria upya jinsi tunavyounda na kubadilishana thamani.

Miaka 10 yaKupitishwa

Kutoka kwenye waraka mweupe hadi miamala milioni 24+ ya kila siku ndani ya mfumo wa ikolojia wa Ethereum

Ethereum imekuwa jukwaa la kompyuta la kimataifa linalowezesha maelfu ya programu zinazotumiwa na mamilioni kila siku. Inajumuisha viwanda na mipaka huku ikiendelea kupanua matumizi yake.

Miaka 10 yaHadithi

Muhtasari wa jinsi Ethereum inavyotumiwa katika maisha ya kila siku

Kutoka mamilioni ya mikoba hadi kila pembe ya dunia, watu hutumia Ethereum kwa njia zinazohamasisha. Hadithi hizi za kweli zinaonyesha ubunifu, uhuru, na muunganisho unaowezeshwa na Ethereum.

Shiriki hadithi yako (opens in a new tab)