Vyanzo vya lugha
Jamii ya Ethereum ni ya ulimwengu mzima na imejaa mamilioni ya wazungumzaji wasiozungumza kiingereza.
Lengo letu ni kutoa elimu kwa kutumia lugha zote na kuondoa kizuizi cha lugha kinachofanya uungaji mkono wa Ethereum kutoka pande zote ulimwenguni kutokua changamoto.
Kama ungependa kusoma katika lugha yako ama unafahamu m tu asiyezungumza kiingereza, unaweza kupata orodha ya vyanzo visivyo katika lugha ya kiingereza hapo chini. Mamia kwa maelfu ya wapenzi wa Ethereum hukusanyika kwenye majukwaa ya mtandaoni kupeana taarufa, kuongelea mabaoresho ya hivi karibuni, jadili masuala ya kiufundi, na kufikiria Ethereum ijayo.
Je, unajua chanzo cha elimu ya Ethereum cha lugha yako? Fungua suala kukiongeza kwenye orodha!
Vyanzo vya Ethereum.org
Ethereum.org imetafsiriwa kwenda kwenye lugha zaidi ya 40 unazoweza kupata kwenye ukurasa wetu wa lugha.
Kama unazungumza lugha zaidi ya moja na ungependa kutusaidia kufikia watu wengi zaidi, unaweza kujihusisha nasi kwenyeProgramu ya Ufasiri wa ethereum.org na kutusaidia kutafsiri tovuti yetu.
Vyanzo kwa wanajamii
Kireno cha Brazili
Habari
- BelnCrypto -taarifa za kripto na majarida, ikijumuisha orodha za masoko yanayopatikana Brazili
- Cointelegraph- Hii ni Cointelegrapgh ya kibrazili, chanzo kikubwa cha habari juu ya kripto
- Livecoins - Taarifa na chombo cha kripto
- Seudinheiro ripoti na taarifa za kripto
Elimu
- web3dev - Ghala la maudhui na jamii ya wasanidi programu walioko discord.
- Web3Brasil - vyanzo vya kujifunza Web3 na DeFi
- CriptoFacil - taarifa na elimu juu ya kripto, ikijumuisha 'ethereum na DeFi kwa wanaoanza'
- CriptoAtivos - Utambuzi kutoka kwenye uwazi wa kripto, blogu na elimu
- Cointimes - Taarfia na elimu juu ya kripto
- Kianzilishi cha Web3 - muongozo unaojibu maswali yanayoulizwa mara nyingi na maswali ya msingi ya kripto
Kichina
Vyanzo vya jumla
- Ethereum.cn - maudhui yanayodumishwa na jamii, yakieleza visasisho vya safu ya makubaliano, vikao vyote vya wasanidi programu waliobobea, safu ya 2, na mengineyo mengi.
- EthFans - jifunze kila kitu toka misingi ya chini ya Ethereum hadi mada za juu
- Unitimes - maudhui yanayodumisha jamii, yakieleza juu ya Ethereum, DeFi, NFT, maarifa yanayohusiana na Web3
- 123ETH - Lango la ikolojia ya Ethereum
- Zhen Xiao - kozi za bure juu ya sarafu ya kripto na programu zake
- Karatasi Nyeupe - Toleo la kichina la Karatasi Nyeupe
Ikolojia ya Ethereum
- ETHPlanet - hackathons za mtandaoni na za uso kwa uso, zikitioa mafunzo kwa wanafunzi walioko vyuoni
- PrimitiveLane - shirika lisilo la faida, lililojikita juu ya teknolojia ya blockchain(mnyororo-wa-bloku)
- Jamii ya watafsiri wa Ethereum CN - jamii iliojikita kutafsiri maudhui ya elimu ya Ethereum
Kwa wasanidi programu
- DappLearning - kundi linalojifunza miradi ya dapp na hushirikisha wengine mawazo na maoni yao kila wiki
- JifunzeBlockchain - jumuiya kwa ajili ya wasanidi programu, kushirikishana taarifa juu kuhusu teknolojia ya blockchain(mnyororo wa bloku)
Kwa watafiti wa Kriptograhia
- SecbitLabs ni anauani ta WeChat, inayoelezea kriptograhia, usalama na mengineyo.
- Sparkbyte - anuanani ya WeChat, inayoelezea teknolijia ya zk
Kifaransa
- Ethereum Ufaransa - Ethereum Ufaransa hupanga matukio, huunda maudhui na huimiza mijadala katika Ethereum
- Ethereum.fr - Taarifa za Ethereum na elimu
- BanklessFR - jarida la Bankless katika lugha ya kifaransa
- KriptoFR - jukwaa la sarafu-ya-kripto na ukurasa mdogo wa Ethereum
Kijerumani
- Jifunze na Microsoft (Solidity) - kwa kutumia Solidity
- Jifunze na Microsoft (mikataba erevu) - Andika Mikataba Erevu ya Ethereum kwa kutmia Solidity
- Jifunze na Microsoft (Mitandao ya Ethereum) - jiunge na tuma mitandao ya Ethereum
- Jifunze na Microsoft (minyororo-ya-bloku) - kuingia katika uundaji wa minyororo-ya-bloku
Kiitaliano
- Ethereum ya Italia - Elimu ya Ethereu, Matukio, na taarifa zinazojikiata katika mikataba erevu na teknolijia ya minyororo-ya-bloku
- Podkasti ya Ethereum Italia - Podkasti ya Ethereum katika lugha ya Kiitaliano
- Jifunze na Microsoft (Solidity) - jifunze jinsi ya kutumia Solidity
- Jifunze na Microsoft (mikataba erevu) - jifunze juu ya uandishi wa mikataba erevu ya Ethereum kwa kutmia Solidity
- Jifunze na Microsoft (dApps) - uunda kiolesura kwa kutumia programu zilizogatuliwa
Kiispaniola
- Ethereum Madrid - blockchain, DeFi, na kozi za utawala, matukio na blogi
- Cointelegraph - Muongozo wa Ethereum kwa wanaoanza katika lugha ya kihispaniola
- Mafunzo mtandaoni - jifunze solidity na usanidi programu juu ya Ethereum
- Utangulizi wa kozi za uundaji wa Ethereum - Misingi ya Solidity, upimaji na usambazji wa mkataba erevu wa kwanza uliounda
- Utangilizi wa usalama na uvamizi kwenye Ethereum - elewa wa udhaifu wa kawaida na mambo ya usalama kwenye mikataba erevu ilio halisi
- Utangulizi wa kozo za uundaji wa DeFi - jifinze jinsi mikataba erevu ya DeFi inavyofanya kazi kwenye Solidity na unda programu ya kutengeneza masoko kiotomatiki
Kituruki
- BTk Akademi - kozi zinazojikita kwenye blockchain na sarafu ya kirpto
- Ubadilishwaji mkuu wa jina: nini kilitokea juu ya Eth2? - Fasiri ya kituruki ya chapisho la blogi, linaloelezea kuondoka kwa neno 'Eth2'
Kivietinamu
- Kundi la Tino - muihstasari wa Ethereum, dApps, pochi na maulizo
- Bonyeza Chi Bitcoin - jukwaa la mtandaoni likiwa na kurasa ndogo za elimu na taarifa juu ya Ethereum
- Coin68 - lango la sarafu ya kripto likiwa na taarifa za Ethereum na maudhui ya kuelimisha
Kijapani
- Muungano wa Masoko ya mtandaoni na mali za Kripto za Japani
- Muungano wa Biashara za Kriptomali za Japani
- Anza na uundaji wa programu za blockchain - Jifunze | Nyaraka za Microsoft - Njia hii ya kujifunza itakupa utangulizi wa minyororo na usimbuaji juu ya jukwaa la Ethereum
- Kujiimarisha na Ethereum - Kujiimarisha na Ethereum kwa kijapani
- Fanya kazi juu ya undaji wa mikataba erevu kwa Solidity na Ethereum - Fanya kazi juu ya undaji wa mikataba erevu kwa Solidity na Ethereum kwa kijapani