Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

programu Gatuzi

Zana na huduma zinazoendeshwa na Ethereum

Dapps ni harakati inayokua ya programu zinazotumia Ethereum kutatiza miundo ya biashara au kuvumbua mpya.

Kielelezo cha doge akitumia tarakilishi

Anza

Kujaribu programu gatuzi utaitaji mkoba na kiasi cha ETH. Mkoba utakuwezesha wewe kuunganisha, au kuingia ndani, Na utahitaji ETH kulipa .

1. Pata ETH

Vitendo vya Dapp vinagharimu ada ya ununuzi

2. Andaa pochi

Mkoba ni "kuingia" kwako kwa dapp

3. Uko tayari?

Chagua dapp ili kujaribu

Rafiki kwa anayeanza

Programu gatuzi chache ni nzuri kwa anayeanza. Chunguza programu gatuzi chini.

Nembo ya Uniswap

Uniswap

Badilisha tokeni zako kwa urahisi. Kipendwa cha jumuiya kinachokuruhusu kufanya biashara ya tokeni na watu kwenye mtandao. Muhtasari.

finance
Fungua Uniswap(opens in a new tab)
Nembo ya OpenSea

OpenSea

Nunua, uza, gundua na fanya biashara ya bidhaa zenye ukomo.

collectibles
Fungua OpenSea(opens in a new tab)
Nembo ya Gods Unchained

Gods Unchained

Kadi ya kimkakati ya mchezo wa biashara. Jishindie kadi kwa kucheza na unaweza kuuza kwenye maisha halisi.

gaming
Fungua Gods Unchained(opens in a new tab)
Nembo ya Ethereum Name Service

Ethereum Name Service

Majina rafiki ya anunuani za Ethereum na tovuti zilizogatuliwa.

social
Fungua Ethereum Name Service(opens in a new tab)

Chunguza dapps

Prograu nyingi zilizogatuliwa(dapps) bado ziko kwenye majaribio, upimaji wa uwezekano wa mitandaao iliogatuliwa. Lakii kumekuwepo na wahamaji wa mwanzo waliofanikiwa katika teknolojia, uchumi, michezo na vitengo mbali mbali vya viavyokusanyika.

Chagua kipengele

Fedha zilizogatuliwa (DeFi)

Hizi ni programu zinazolenga kujenga huduma za kifedha kwa kutumia sarafu za siri. Wanatoa upendeleo wa kukopesha, kukopa, kupata riba na malipo ya kibinafsi - hakuna data ya kibinafsi inayohitajika.

Mara zote fanya utafitit wako mwenyewe

Ethereum ni teknolojia mpya na matumizi mengi ni mapya. Kabla ya kuweka kiasi kikubwa cha pesa, hakikisha unaelewa hatari.

Kukopa na kukopesha

Sehemu za kufanyia mabadilishano

Sababu zinazoleta uhitaji

Madaraja

Fedha za uwekezaji

Usimamizi wa portfolio

Bima

Malipo

Ufadhili wa Umati

Zitokanazo

Kuweka dhamana ukwasi

Soko la kutabiri

Unataka kutazama programu nyingi?

Angalia mamia ya programu gatuzi(opens in a new tab)

Uchawi nyuma fedha zilizogatuliwa (DeFi)

Je, ni nini kuhusu Ethereum inayoruhusu maombi ya fedha yaliyogatuliwa kustawi?

Ufikiaji ulio wazi

Huduma za kiuchumi zinazoendeshwa juu ya Ethereum hazihitaji usajili. kama una pesa na mtandao uko vizuri kufanya shughuli zako.

Uchumi mpya wa ishara

Kuna ulimwengu mzima wa ishara ambazo unaweza kuwasiliana nazo kwenye bidhaa hizi za kifedha. Watu wanajenga tokeni mpya juu ya Ethereum kila wakati.

Sarafu-imara

Timu imejenga yenye mwendo mdogo wa mabadiliko ya bei ya sarafu za kripto. Hii inaruhusu wewe kufanya uchuguzi na kutumia kripto bila ya hatari na kutokuwa na uhakika.

Huduma za kifedha zilizounganishwa

Bidhaa za kifedha katika nafasi ya Ethereum zote ni za msimu na zinaendana. Mipangilio mipya ya moduli hizi inagonga soko kila wakati, na kuongeza kile unachoweza kufanya na crypto yako.

Zaidi juu fedha zilizogatuliwa (DeFi)
Kielelezo cha wachawi

Uchawi nyuma ya dapps

Dapps inaweza kuhisi kama programu za kawaida. Lakini nyuma ya pazia wana sifa maalum kwa sababu wanarithi nguvu zote za Ethereum. Hiki ndicho kinachofanya dapps kuwa tofauti na programu.

Ni nini kinachofanya Ethereum kuwa nzuri?

Hamna wamiliki

Mara msimbo wa dapp utakapozinduliwa kwenye Ethereum, haiitawezekana kuuondoa. Na mtu yeyote anaweza kutumia huduma za dapps. Hata kama timu ilio nyuma ya dapp imekutoa bado unaweza kuitumia. Pale inapokua kwenye ethereum, inakaa hapo hapo.

Isio na udhibiti

Malipo yaliyojumuishwa

Chomekaa na ucheze

Kuingia moja bila jina

Inalindwa na kriptografia

Haishuki mtandaoni

Jinsi dapps inavyofanya kazi

Programu gatuzi ina miundombinu yake ya msimbo wa nyuma (mikataba erevu) kufanya kazi kama mtandao gatuzi na sio seva za umoja. Wnatumia.

Mkataba erevu ni kama seti ya sheria zinazotumika kwa kila mtu kuona na kutekelezwa kulingana na sheria hizo. Hebu fikiria mashine ya kuuza: ikiwa utaisambaza kwa fedha za kutosha na uteuzi sahihi, utapata bidhaa unayotaka. Na kama vile mashine za kuuza, kandarasi mahiri zinaweza kuhifadhi pesa kama vile akaunti yako ya Ethereum. Hii inaruhusu msimbo kupatanisha makubaliano na shughuli.

Mara dapps zinapotumika kwenye mtandao wa Ethereum huwezi kuzibadilisha. Dapps zinaweza kugatuliwa kwa sababu zinadhibitiwa na mantiki iliyoandikwa kwenye mkataba, si mtu binafsi au kampuni.

Je! ukurasa huu umekusaidia?