Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Ukurasa ulisasishwa mwisho: 25 Februari 2026

Rasilimali za lugha

Jamii ya Ethereum ni ya ulimwengu mzima na imejaa mamilioni ya wazungumzaji wasiozungumza kiingereza.

Lengo letu ni kutoa elimu kwa kutumia lugha zote na kuondoa kizuizi cha lugha kinachofanya uungaji mkono wa Ethereum kutoka pande zote ulimwenguni kutokua changamoto.

Kama ungependa kusoma katika lugha yako ama unafahamu m tu asiyezungumza kiingereza, unaweza kupata orodha ya vyanzo visivyo katika lugha ya kiingereza hapo chini. Mamia ya maelfu ya wapenzi wa Ethereum hukusanyika kwenye majukwaa haya ya mtandaoni kushiriki taarifa, kuongelea mabaoresho ya hivi karibuni, kujadili masuala ya kiufundi, na kufikiria masuala ya baadaye.

Je, unajua chanzo cha elimu ya Ethereum cha lugha yako? Fungua suala (opens in a new tab) ili kuliongeza kwenye orodha!

Rasilimali za Ethereum.org

Ethereum.org imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 40 ambazo unaweza kuzipata kwa kutumia menyu yetu ya kiteuzi cha lugha, iliyoko juu ya kila ukurasa.

Menyu ya kiteuzi cha lugha

Ikiwa unajua lugha mbili na unataka kutusaidia kufikia watu wengi zaidi, unaweza pia kushiriki katika Programu ya Tafsiri ya ethereum.org na utusaidie kutafsiri tovuti.

Rasilimali za jamii

Kireno cha Brazil

Habari

Elimu

Kichina

Vyanzo vya jumla

Ikolojia ya Ethereum

Kwa wasanidi programu

Kwa watafiti wa Kriptograhia

Kicheki

Kifaransa

Kijerumani

Kiebrania

Kiitaliano

Kijapani

Kirusi

Kihispania

Kituruki

Kivietinamu

Ukurasa ulihaririwa mwisho: 25 Februari 2026

Je! makala haya yamekusaidia?