
Safu ya 2
Mitandao ya Ethereum
Tumia Ethereum kwa sehemu ya gharama yote.
Inaendeshwa na Ethereum
Ethereum sio mtandao mmoja tu tena. Ikiwa na mamia ya mifumo iliyojengwa juu yake, Ethereum imekuwa ya gharama nafuu zaidi, ya kasi na inapatikana kwa ajili ya matumizi ya kila siku.
Kabiliana na siku zijazo kwa kujiunga mojawapo ya mitandao mingi inayoendeshwa na Ethereum!

$0.14
Gharama wastani ya muamala kwenye mfumo wa Ethereum
$0.001
Gharama wastani ya miamala kwenye mitandao inayoendeshwa na Ethereum
Mtandao ya mitandao
Uwezo na usalama wa Ethereum hutoa jukwaa kwa mitandao mingine kujengea juu yake. Ikiwa na akaunti moja, kila kitu kinaendana na kuunganishwa kwa urahisi.










Ada za $ 0.01
Unaweza kufanya biashara, kutuma pesa kote duniani, au kutumia programu bila wasiwasi kuhusu gharama kubwa.
Miamala ya haraka sana,
Iwe unafanya malipo ya haraka au kushiriki katika miamala ya fedha iliyogatuliwa (DeFi), miamala yote huchukua sekunde chache tu.
Inaungwa mkono na Ethereum
Mfumo wa Ethereum uliothibitishwa na uliogatuliwa hutumika kama safu ya kujengea mitandao mingine mpya.

Starknet
Starknet ni Uzinduzi wa ZK uliojengwa kwa msingi wa STARKs na Cairo VM.

Arbitrum One
Arbitrum One ni Uzinduzi wa Jaribio uliojengwa na Offchain Labs na kusimamiwa na Arbitrum DAO.

Base
Base ni Uzinduzi wa Jaribio uliojengwa na OP Stack. Unatoa njia ya gharama nafuu na ya kirafiki kwa mtu yeyote, popote, kujenga mfumo wa fedha.

Inaendeshwa na Ethereum

Kwa nini tunahitaji mitandao mbalimbali kwenye Ethereum?
Kwa nini kuna mitandao yote hii wala sio mtandao mmoja tu wa Ethereum?