Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Sarafu imara

Hela ya kidijitali kwa matumizi ya kila siku

Sarafu-imara ni ishara za Ethereum zilizoundwa kua na thamani ya kudumu, hata pale bei ya ETH inapobadilika.

Sarafu-imara kubwa zaidi kwa mtaji wa soko: Dai, USDC, na Tether.

Kwanini sarafu-imara?

Sarafu-imara ni sarafu-za-kripto zisizo na utete. Zina changia nguvu sawa na ETH lakininthamani yao ni thabiti, iko kama sarafu za jadi. Kwahiyo unapata fedha imara unazoweza kutumia kwenye Ethereum. Jinsi sarafu-imara zinavopata uimara wake

Sarafu-imara ni za ulimwengu, na zinaweza kutumwa kwa mtandao. Ni rahisi kuzipokea au kuzituma pale unapokua na .

Mahitaji ya sarfu-imara ni makubwa, kwahiyo unaweza ukapat faida kwa kukopesha zako. Hakikisha unazitambua hatari kabla ya kukopesha.

Sarafu-imara zinaweza kubadilishwa kwenda kwenye ETH na tokeni zinginezo za Ethereum. nyingi zinategemea sarafu-imara.

Sarfu-imara zinalindwa na. hamna mtu atakaeweza kughushi muamala badala yako.

Pizza isiomaarufu ya Bitcoin

Mwaka 2010, jamaa fulani alinunua pizza 2 kwa bitcoin 10,000. Kwa wakati huo bitcoin ililkua na thamani ya dola ya Marekani ~$41. Kwenye soko la leo hayo ni mamilioni ya dola. Kuna miamala ya kufanana yenye majuto kwenye historia ya Ethereum. Sarafu-imara hutoa suluhisho juu ya tatizo hili, ili uweze kufurahia pizza yako na kuendelea kushikilia ETH yako.

Tafuta sarafu-imara

Kuna mamia ya sarafu-imara zinazopatikana. pata msaada hapa ili uweze kuanza. Kama wewe ni mpya kwenye Ethereum, tunashauri ufanye uchuguzi kiasi kwanza.

Chaguzi za Mhariri

Mifano ya sarafu-imara zinazojulikana zaidi hivi sasa na sarafu tulizoona zinamanufaa wakati wa kutumia dapps.

USDS

USDS ndiyo mrithi wa Dai, inayoungwa mkono kikamilifu na crypto na iliyoundwa kwa ajili ya akiba na zawadi za onchain. Inatumika sana katika DeFi huku ikiwaweka watumiaji katika udhibiti kamili wa pesa zao.

Logo ya USDS
$11,653,749,980
Mtaji wa soko

USDC

USDC ndiyo stablecoin kubwa zaidi inayodhibitiwa na Marekani. Thamani yake imewekwa kwa dola ya Marekani, iliyotolewa na Circle, na inatumika sana.

Nembo ya USDC
$78,681,453,907
Mtaji wa soko

GHO

GHO ni stablecoin iliyogatuliwa yenye dhamana nyingi iliyoundwa na Aave. Inatumia muundo wa mseto unaochanganya uungaji mkono wa crypto-collateralized na mbinu ya utawala wa jumuiya.

Logo ya GHO
$583,754,717
Mtaji wa soko

Glo Dollar

Glo Dollar (USDGLO) ni sarafu ya sarafu inayotoa faida zote kwa bidhaa na misaada ya umma. Kwa kushikilia au kutumia Glo Dollar, unasaidia kufadhili mambo kama vile kupambana na umaskini na kusaidia mtandao huria—bila gharama ya ziada kwako.

Nembo ya USDGLO
$1,807,294
Mtaji wa soko

Sarafu imara za juu kwa mtaji wa soko 

Mtaji wa soko ni idadi ya jumla ya ishara zilizopo mara thamani kwa ishara. Orodha hii inabadilika badilika na miradi iliyoorodheshwa hapa sio lazima ziwe zimepitishwa na timu ya ethereum.org.

Jinsi ya kupata sarafu-imara

Weka akiba na sarafu-imara

Sarafu-imara huwa na hutoa riba ya juu ya wastani kwasababu kuna mahitaji makubwa ya kuzikopesha. Kuna dapps zitakazokuruhusu kupewa riba kwenye sarafu-imara ulizonazo kwa wakati halisi unapoziweka kwenye bwawa la kukopesha wengine. Kama ulimwengu wa kubenki, unasambaza ishara kwa wakopeshaji lakini unaweza kutoa ishara zako na riba iliyoongezeka mda wowote.

Dapps zinazopata riba

Fanya matumizi sahihi ya sarfu-imara ulizonazo na pata pesa zaidi. Kama kila kitu kwenye kripto, Mazao ya Asilimia ya Mwaka yaliotabiriwa (APY) yanaweza yakabadilisha kutegemea ugavi/usambazaji wa kila siku.

Nembo ya Aave

Aave (opens in a new tab)

Masoko mengi ya saru-imara, ukijumuisha Dai, USDC, TUSD, USDT, na zaidi.

Nembo ya Compound

Compound (opens in a new tab)

Kopesha sarfu-imara na pata riba na $COMP, ishara ya Compound.

Nembo ya Summer.fi

Summer.fi (opens in a new tab)

Programu ilioundwa kuokoa Dai.

Nembo ya Spark Protocol

Spark Protocol (opens in a new tab)

Itifaki ya kukopesha na kukopa kwa Ethereum inayounga mkono chaguzi nyingi za sarafu imara.

Jinsi zinavyofanya kazi: Aina ya sarafu-imara

Inategemezwa na fedha za fiat

Kimsingi IOU(nina deni lako) kwa fedha za jadi za fiat (kwa kawaida ni dola). Utatumia fedha zako za fiat kununua sarafu-imara ambazo baadaye unaweza kuzitoa na kupata sarafu yako ya asili.

Faida

  • Salama dhidi ya utete wa kripto.
  • Mabadiliko ya bei ni ya kima cha chini.

Hasara

  • Ya kati -- mtu lazima atoe ishara hizo.
  • Inahiataji ukaguzi kuhakikisha kampuni ina akiba ya kutosha.

Jifunze zaidi juu ya sarafu-imara

Dashibodi & Elimu

Test your Ethereum knowledge

Je! ukurasa huu umekusaidia?