Tafsiri ethereum.org
Tafsiri maudhui ya ethereum.org kwa lugha yako ili kusaidia watu wengi zaidi kujifunza kuhusu Ethereum
Shinda zawadi
Jishindie sehemu ya zawadi kulingana na nafasi yako kwenye ubao wa wanaoongoza
Jifunze kuhusu Ethereum
Jifunze zaidi kuhusu Ethereum huku ukitafsiri na kushindania zawadi
Utangulizi
Tunaamini kwamba maudhui ya Ethereum na rasilimali za kuanzisha zinapaswa kupatikana kwa kila mtu, bila kujali lugha wanayozungumza. Ili kusogea karibu na lengo hili, mpango wa utafsiri wa ethereum.org ni mpango wa kutafsiri tovuti katika lugha nyingi iwezekanavyo.
Kama sehemu ya mpango wa utafsiri, tunaandaa toleo la 3 la Translatathon, shindano letu la utafsiri linalolenga kuhamasisha michango ya utafsiri katika lugha ambazo hazitumiki sana, kuongeza idadi ya lugha na kiasi cha maudhui yanayopatikana kwenye tovuti, kuwakaribisha wachangiaji wapya na kuwazawadia waliopo.
Ikiwa wewe ni mzungumzaji asilia wa lugha nyingine isipokuwa Kiingereza na unataka kusaidia kufanya maudhui ya Ethereum yapatikane zaidi huku ukishindania zawadi, endelea kusoma ili kujifunza zaidi!
Jifunze zaidi kuhusu mpango wa utafsiri wa ethereum.org
Ratiba
Hizi hapa ni tarehe muhimu za Translatathon ya 2025:
Fri Aug 08 2025 - Sun Aug 31 2025
Applications open
Fill out the application form to participate and compete for prizes
Mon Aug 25 2025 - Sun Aug 31 2025
Translatathon
Collect points for any translations you add during the translation period
Mon Sep 01 2025 - Mon Sep 22 2025
Evaluation period
Each translation will be evaluated by professional reviewers to make sure no AI tools were used and they meet the minimum quality threshold
Thu Sep 25 2025
Results announcement
We will announce the results and winners on the ethereum.org community Call
Note: All dates are in UTC
Translatathon essentials
Earn points
Translate ethereum.org and ecosystem content to earn points and compete against other participants. 1 translated word = 1 point


Human translations only
Using AI or machine translation is forbidden! All translations will be reviewed and evaluated, and participants using machine translation will not be eligible to claim prizes (see terms and conditions)
Focus on untranslated lines only
Translate strings that do not have any suggested translations yet. Do not translate strings that have already been translated and approved

Shiriki
Nani anaweza kushiriki?
Mtu yeyote mwenye umri wa zaidi ya miaka 18, mzungumzaji asilia wa angalau lugha moja isiyo ya Kiingereza na anayekimudu Kiingereza.Je, ninahitaji kuwa mtafsiri?
Hapana. Unahitaji tu kuwa na lugha mbili na kupendekeza tafsiri za kibinadamu (kutumia tafsiri ya mashine ni marufuku!) kwa kadri ya uwezo wako, uzoefu wa kitaalamu hauhitajiki.Ninahitaji kutumia muda kiasi gani?
Muda wowote unaotaka. Kiwango cha chini cha kustahiki zawadi ni maneno 1,000 yaliyotafsiriwa, ambacho kinapaswa kuchukua takriban saa 2 kukamilisha, huku kushindania zawadi za juu kutahitaji kujitolea kwa muda mwingi zaidi.Je, ninahitaji kuifahamu Ethereum?
Hapana. Ingawa kuifahamu Ethereum kunaweza kusaidia katika uzalishaji na ubora wako, Translatathon pia ni fursa ya kujifunza, na kila mtu anakaribishwa kujiunga na kujifunza zaidi kuhusu Ethereum huku akishiriki.Kwa maelezo zaidi, tazama Vigezo na Masharti kamili
Maelekezo ya hatua kwa hatua
1
Read the rules and details
Get familiar with the rules, translation process and what to translate
2
Submit your application
All participants need to fill out the application form before the translation period starts!
3
Register on Crowdin
Join the ethereum.org project and familiarize yourself with Crowdin, where all the translations will take place
4
Join our Discord
Keep up with the latest updates, attend the onboarding calls or ask questions
5
Translate! August 25th to August 31st
Translate content to earn points. Each word you translate counts towards your final score
6
Wait for evaluations
All translations will be evaluated for quality and AI or machine translations will be rejected
7
Claim your prizes
Results will be announced on September 25th. Eligible participants will receive an email with instructions on how to claim their prizes.
Zawadi
| Nafasi | Kiasi cha zawadi |
|---|---|
| Nafasi ya 1 | $4000 |
| Nafasi ya 2 | $2500 |
| Nafasi ya 3 | $1500 |
| Nafasi ya 4 | $1100 |
| Nafasi ya 5 | $1000 |
| Nafasi ya 6 | $600 |
| Nafasi ya 7 | $550 |
| Nafasi ya 8 | $500 |
| Nafasi ya 9 | $450 |
| Nafasi ya 10 | $400 |
| Nafasi ya 11 - 20 | $240 |
| Nafasi ya 21 - 50 | $120 |
| Nafasi ya 51 - 100 | $60 |
| Nafasi ya 101 - 150 | $40 |
| Wengine | $20 |
Zawadi zote zitalipwa kwa ETH.
Translatathon calls
Join us on the ethereum.org Discord for a series of onboarding calls and workshops where we’ll cover everything you need to know about the Translatathon, walk through using Crowdin and answer any questions you might have.
Join Discordopens in a new tabTranslatathon calls
20 Agosti 2025
Translatathon overview #1opens in a new tab21 Agosti 2025
Translatathon overview #2opens in a new tab25 Agosti 2025
Translatathon kickoff callopens in a new tabUkurasa ulihaririwa mwisho: 25 Septemba 2025

