Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Ukurasa ulisasishwa mwisho: 13 Aprili 2026

Kuchangia kwenye ethereum.org 🦄

Ethereum.org ni mradi wa chanzo-wazi unaoendeshwa na wachangiaji 12,000+ wanaosaidia kutafsiri, kuandika, kubuni na kudumisha tovuti.

Sisi ni jumuiya karibishi ambayo itakusaidia kukua na kujifunza katika mfumo ikolojia wa Ethereum huku pia ukichangia kwa maana na kupata uzoefu wa vitendo!

Njia za kuchangia

Tafsiri

Uendelezaji

Ubuni

Maudhui

Mawazo ya vipengele

Orodha za bidhaa

Maswali yoyote? 🤔 Jiunge na seva yetu ya Discord (opens in a new tab)

Kazi nzuri za kwanza za kuanza kuchangia

Hizi ni kazi chache za sasa ambazo unaweza kutusaidia kutatua na kuwajibika nazo. Kwa nyingi utahitaji akaunti ya GitHub kwani mabadiliko mengi kwenye tovuti hufanywa kupitia GitHub.

Tazama kazi zote (opens in a new tab)

Jinsi ya kufanyia kazi ethereum.org

Ikiwa ungependa kuchangia katika Programu ya Utafsiri, tunakuomba ufungue akaunti kwenye Crowdin (opens in a new tab). Kwa kila kitu kingine – kuongeza au kuhariri maudhui au vielelezo kwenye tovuti, kurekebisha hitilafu, kufanyia kazi kazi zilizo wazi – utahitaji akaunti ya GitHub (opens in a new tab).

Masasisho yote hufanywa kupitia mchakato wa PR wa GitHub. Hii inamaanisha unatengeneza nakala ya ndani ya tovuti, unafanya mabadiliko yako na kuomba kuunganisha mabadiliko yako. Ikiwa hujawahi kufanya hivi hapo awali, fuata maagizo yaliyo chini ya hifadhi yetu ya GitHub (opens in a new tab).

Huhitaji ruhusa kufanyia kazi chochote, lakini ni vyema kila wakati kutujulisha unachopanga kufanya. Unaweza kufanya hivi kwa:

Kabla ya kuchangia, hakikisha unafahamu:

Jinsi maamuzi kuhusu tovuti yanavyofanywa

Maamuzi kuhusu PR za kibinafsi, mageuzi ya muundo na masasisho makuu hufanywa na timu kutoka kote katika mfumo ikolojia wa Ethereum. Timu hii inajumuisha wasimamizi wa miradi, wasanidi programu, wabunifu, wataalamu wa masoko na mawasiliano, na wataalamu wa mada. Maoni ya jamii huarifu kila uamuzi: kwa hivyo tafadhali uliza maswali katika masuala, wasilisha PR, au wasiliana na timu:

Tanbihi kuhusu wizi wa kazi za kitaaluma

Tumia tu kazi yako halisi au maudhui ambayo una ruhusa ya kutumia unapochangia maudhui yoyote au kazi ya sanaa kwa ethereum.org. Miradi mingi ndani ya mfumo ikolojia wa Ethereum hutumia leseni za chanzo-wazi zinazoruhusu kushiriki habari kwa uhuru. Hata hivyo, ikiwa huwezi kupata habari hii, usijaribu kuiongeza kwenye ethereum.org. Maombi yoyote ya mabadiliko yatakayoonekana kuwa ni wizi wa kazi za kitaaluma yatakataliwa.

Mgeni kwenye chanzo-wazi?

Tuna masuala yenye kizuizi kidogo cha kuingia kwenye hifadhi yetu ya GitHub yaliyoundwa mahususi kwa wasanidi programu ambao ni wageni kwenye chanzo-wazi yaliyoitwa suala zuri la kwanza (opens in a new tab).

Dai Tokeni yako ya Mafanikio ya Onchain (OAT)

Ikiwa mchango wako utaunganishwa kwenye ethereum.org, utapata fursa ya kudai beji maalum kwenye Galxe (opens in a new tab). Tokeni ya Mafanikio ya Onchain (OAT) ni uthibitisho kwamba ulisaidia kufanya mfumo ikolojia kuwa mzuri zaidi.

Zaidi kuhusu OAT (opens in a new tab)

Jinsi ya kudai

  1. Jiunge na seva yetu ya Discord (opens in a new tab).
  2. Bandika kiungo cha mchango wako kwenye chaneli ya #🥇 | proof-of-contribution.
  3. Subiri mwanachama wa timu yetu akutumie kiungo cha OAT yako.
  4. Dai OAT yako!

Unapaswa kutumia mikoba ya kujihifadhi pekee kudai OAT. Usitumie akaunti za soko la kubadilishana au akaunti zingine ambazo huna funguo za faragha, kwani hizi hazitakuruhusu kufikia na kudhibiti OAT zako.

Dai GitPOAP yako

GitPOAP pia itatambua kiotomatiki mchango wako ulioounganishwa na kukuruhusu kuunda POAP ya kipekee ya wachangiaji kwenye jukwaa lao lenyewe!

Jinsi ya kudai

  1. Tembelea GitPOAP (opens in a new tab).
  2. Unganisha na mkoba wako au hata kwa barua pepe yako kupitia chaguo la kuingia.
  3. Tafuta jina lako la mtumiaji la GitHub, anwani ya ETH, majina ya ENS au GitPOAP yoyote ili kuangalia kama unastahiki.
  4. Ikiwa akaunti yako ya GitHub inastahiki, basi utaweza kuunda GitPOAP!

Wachangiaji

Thanks to our 1549 Ethereum community members who have contributed so far!

Aqeel

Mac L

MrBrain295

Apinan Yogaratnam

Luis Miranda

Hursit Tarcan

Martin Yung

matusame

Owen Hwang

William Buck

neozapatista

Sayid Almahdy

NaijaCoderGirl

Yakshit Agarwal

Yann Gerardi

AnnaNodes

Fran Roberts

Nuno Loureiro

Jay

shao

Rémi Prévost

Yan Luiz

JulienM

yoshikouki

Nenad Vitorović

Yorke E. Rhodes III

qbzzt

joshorig

A. Tyler Benson

Joseph Schiarizzi

Alan Woo

Alexandria Roberts

Matthew

Don Cross

Daniel Damilola Obiokeke

Kaiser Pister

Alexander Gryaznov

Mohammed Israil

Vishal Vaddadhi

sushthecoda

Fishon Amos

Bienvenido Rodriguez

bitmateus

Mihrac Cerrahoglu

tommy

Conner Jensen

James Zaki

Jordi Pascual

Vitaliy Hayda

QIAN

Daniel Olshansky

Alex

Raman

Slava Shirokov

Mihir Luthra

DrMad92

Wilson Wu

dRPC Marketing

shashvatshah9

Jason Yan

greefea

Kasia Kosturek

Mikko Ohtamaa

clacla

Atharva Deosthale

PHOENIX-05

Savio

Antoine-Sparenberg

Phil

XOF

Sakshi

aslikaya

Deric | Alchemy

Mesquita Oliveira

Max Roslow

AyDeveloper

SamiAlHassan

Sunghee Lee

Dmitry Alexeev

Dhiraj Gagrai

othaime-en

Chris Chinchilla

Reet Batra

Croath Liu

Cypher Pepe

futreall

Gernot Salzer

Amadou Crookes

James Adams

Maxime Dessez

aztecEagle22

hkey

sooyoung

Ezenwankwo Gabriel

wii u

Ryan Ghods

James Connolly

iusx

Tantan Fu

Colman Glagovich

Chiara Wilden

Oscar Barajas Tavares

Maurycy

Francesco Ciulla

James Morgan

Chris Waring

SnehalSrivastava27

Eridian

Colin Steil

Uttam Singh

Oliver

linhuatan

Ayodele Aransiola

Maxim Evtush

karansinghgit

Boris Mann

Caos

Natacha Souza

João Paulo Hotequil

Aniket Raj

nixo

Stan Kladko

Kim Kwangtae

Aditya Joshi

EarthMan

Awosise Oluwaseun

Kumar Kalyan

grayliquid

Ray Zhu

Oriol Serra

Konstantin Zolotarev

Loc Nguyen

nabetse

Tamino

kirati-su

Leon Todd

somethingstup

Ethan Sarif-Kattan

Pandiyaraja Ramamoorthy

Voll

Nexonik

Alexander Cherkashin

maciejrrr

colin

Francis Lewis

Ankit Singh

Jokyash

Himanshu Singh

BaekHo Kang

PAAlmasi

jimgreen2013

Alexander Sadovskyi

Vasu Manhas

Anna

Vincent Weisser

JoeChenJ

Iván Miragaya

omahs

Zak G

0x

Derek周朝晖

thewild-being

Mobin Mohanan

MaryNfs

Jason Huang

DevOFtoken

Vishal Pratap Singh

George Zhang

titanism

Rogério Araújo

econoar

Eswara Sai

Veit Progl

seanlakers

Hendrik Eeckhaut

Discord #8528

otc group

Adebayo Steve

Corey Rice

Sant Deleon

Nhan Vo

Nikita Zhavoronkov

ApoGrs

Nicolas Balao

shynur

Naftali Murgor

Rohit Gopal

John Grant

Filip Martinsson

justalike

Ξrik Saunier

Jamie Barrett

changwu

Jonathan Joshua

Hugh

nethan

NachoRoizman

ZhengXingRu

awg0013-PR

Oreemo

Soheil

Chris Boesch

Markus Hatvan

Guy Lando

ddannehh

Andrej

William Entriken

吴泽康

Santiago Palladino

Jeffrey Owoloko

Elizabeth Bassey

Manuel Peralta

ChrisK

Martín

Juan José Giraldo

Jiatu Liu

Radek

Rohit Gupta

deca

TM Lee

Miguel

mariapaulafn

Ahmad Bitar

Sahitya Roy

Karthickmerk

Mohammad Zeeshan Jawed

Mariah

Nicolas LARCHE

tadeo

Hudson Jameson

Dave Lucia

Ned Rockson

Steve Goodman

Rodney Olav C Melby

Carl Lippert

Mário Havel

Damian Rusinek

hewigovens

NikolaiKryshnev

Francisco

Yash Jagtap

Dan

fuder.eth

Bic

Daniel Zarifpour

Gianni Alessandroni

Dániel Görbe

bestpilotingalaxy

Alessandro Baffa

Ryan Waldon

Phanindra

Medzhidov-Omardibir

Stefan Sathianathen

Siddharth S

Hubert Sikorski

cam

Max Ammann

codingsh

David Liu

Gaurav Kumar Shah

Justin Johnson

Dinith

Nitin Rajesh

Olaf Tomalka

Luozhu

MOSHKA-GOT

Anshi

AK

metalc

Omsify

Matt Voska

slipperybeluga

yash

Abhranil Das

NilFoundation

Atoyebi Oluwakemi

Yashovardhan Agrawal

Gabriele Rigo

Riely

Takamasa Arakawa

Victor Baranov

CPSTL

Gabito Esmiapodo

Jonas Irgens Kylling

ImThour

Harshil Gupta

Jamie Pitts

oleksandrkovalskiy

Roshan R Chandar

Tiago Yonamine

Scott

Marc-Antoine Thevenet

Xavi Arias Seguí

james-prysm

Sahil sen

Darigov Research

Kristiyan

Lichu Acuña

vdusart

Roberto Carboni

Natalino Picone

Graz Network

M@rC3L0

rafaelss

Bibash Tandon

Arjuna Sky Kok

Fekry Aiad

Sina Pilehchiha

Bhavish Yalamanchi

Mark Strefford

Leo Gutiérrez Ramírez

Zhou Yang

Varshitha

lo996

ExodusActual

vluna

Luisa Calixto

Lohan

Mayemene Fomene Jean Vladimir

SkyWarrior123

Vaibhav Tevatia

Justin

Bruce MacDonald

Qazal Samani

obsidian

d1onys1us

Harpal Jadeja

Gareth Dwyer

Rakesh Hotker

aakhtar3

NikitaKent

Apoorv Lathey

SW

Sourav Suman

KurtMerbeth

Ivan Martinez

Gabriel Garcia

MiloBowman

chinaman123

Saïd Ibrihen

Ignacio Hagopian

Tony Chen

Sean O'Connor

cth0604

Justin Spradlin

miiiguel

Leonardo Birardi

davidplutus

Ivan Aracki

eirtscience

Virgil Griffith

0xngmi

Stephen Guo

Evan

wd021

drehuwann

skyminelabs

Liam Arzola

Theo Pack

Luis Sebastian Urrutia Fuentes

Lukas Sägesser

Susannah Evans

Pranav Konde

enjoyooor

metadiver.eth

Miao

屠虫少年

Gabi

Wesley

Revo Arya

Joshua Welsh

Andrey Azimov

yuliyu123

G Surendar Thina

Pandapip1

Sam Richards

Jhaymes

liuye20240304

Jhonny

htimsk

Jadi

Disconnect3d

Bob

Medard Mandane

Emmanuel Awosika

gokhan

Alec Dilanchian

jbgwu

Tomas Pasiecznik

Reppelin Tom

Wil Barnes

Shiv Rustagi

polarpunklabs

mempirate

Enrique Jose Avila Asapche

VolodymyrBg

Akash Nimare

riproprip

İsmail Kerim Cem

joaoMpf

Timur Badretdinov

Gourav Singh Rawat

Siqi Yan

Mohamed Hayibor

Jordan Overbye

agorismlabs

Dmitriy Fishman

tree

Connor Mann

Louis

Kostas

fr33dr4g0n

Brendan Lee

Harsh Gupta

Hakeem Almidan

Igor Papandinas

Marcella

Varun Shenoy

Jakub Smékal

sorumfactory

Kristjan Grm

Sylvain Pace

Samuel Akinosho

Patrice Lamarque

michael60634

Ivan Manchev

Joanne

Adria Massanet

Soos3D

yalexis.eth

GarmashAlex

Chris Seifert

flatsponge

Pedrojok01

nake13

CrazyFrog

Craig Williams

Keith Dumont

Chase Wright

Andile Mchunu

ismaventuras

dlr-a

Franziska Heintel

Hung Doan

Marcos Dedeu

Anki

Aniket

Antonio Sanso

RanchHowards

Grégoire Jeanmart

Lucca Benedetti

Kevin Ziechmann

Adina Cretu

András Novoszáth

Anmol Goyal

Wenceslas Sanchez

Afr Schoe

Cryptolibertarian.id

Krishang Shah

Coder

sogobanwo

AlehN

Scott Fitsimones

Aksa12

Andrei Maiboroda

Elias Tazartes

Andrzej Wódkiewicz

Sourab

ethjoe

Ivan Pavičić

Oleg Gorbatiuk

Jasper

Saurabh Burade

Evans Tucker

Cameron Fink

Tilen Držan

Erik Hunter

Nikolai Vavilov

Shubh

Eni-G

Raj Shekhar Bhardwaj

Abhimanyu Shekhawat

Shariq Anwar

Tom Rutten

Felipe Faraggi

Gonçalo Hora de Carvalho

Jakub

samsara

Paul Cowgill

Sesamestrong

oliver renwick

drequinox

hosyminh95

Adam Dry

Ilya Smiyukha

solarpunklabs

Richard Rodrigues

VAS

Keith Yeung

Lorena De Leon Salazar

Rachel

Alwin Stockinger

Pete

kritik sah

Vlad Kokhan

Kartikeya Sureka

php4fan

Gabriel Temsten

tbollinger

zhanxin

woxjro

Bobby Galli

Tymek Majewski

Adrian Li

SafePalWallet

Ling

mihaic01

trikunai

Ale-Bv-Dev

Chris Berry

kartojal

Gonzalo D'Elia

Ekam Bitt

Rousos Alexandros

Colin Kennedy

Erlangshen219

Kevin Schwindt

Sandeep Belagavi

rahul

Samuel Laferriere

erin-at-work

SatoshiMiracle

PolySages

Griffin Ichiba Hotchkiss

David Murdoch

Enes Kerem AYDIN

haouvw

Ladislas Fontaine

Clashinm

Chaitanya Potti

joao

Ikko Ashimine

Ryan Grunest

JH

knititwearit

Buttaa

Sai Leela Rahul Pujari

Artur Cygan

Julien Rioux

Mukul Kolpe

Ahmet Emin Koçal

tap (pts.eth)

Franklin Ohaegbulam

Brandon Harden

mikoto-studio

Muhammad Umair Irshad

christy-pdx

Minho Ryang

Sam Padilla

metalocal

saif-11bit

Chan Jing Hong

Piyush Tilokani

Robert Miller

Viktor Garske

wrexgem

Lorenzo Zabot

Elyanil Liranzo-Castro

Sachin

Dennis Zhang

SA KSH AM

ANKIT_PAL

Vedvardhan

C.J. Kozarski

Mwitah

amirmehdi

Roeland Werring

Nick Carbone

Ahmed Ashour

Amine E.

daviroo

Kendra Karol Sevilla

Seth Ariel Green

Patrick Aljord

ArtificialPB

David Schnurr

Shadab Khan

Garric G. Nahapetian

Pushkar Verma

Yusuf Musleh

Master7130

Enigmatic331

Martin Holst Swende

Shane

waynedyer12

s-crypt

Factral

sminempepe

Yusuf Elnady

Josh Davis

MonsieurDMA

Eugene

patrick

yasnazariel

Matthieu SCARSET

SNikhill

LoinLiao

Tuckson

Madison carter

Julien Klepatch

Zachary DeRose

Stefan Ignjatović

AsheBarrett

Nick Johnson

Edson Ayllon

Gustavo Silva

Hayatti

MohammadHosein Masoon

Jorge Rodriguez

Ashwin Ramaswami

sharadseth

Anita Diamond

santamasa

lipperhey

Yos Riady

F. Eugene Aumson

David Zhang

Mikhail

Ahmed Mustafa Malik

gr0uch0dev

Andrew B Coathup

Charles Jones

vvvvvv1vvvvvv

Kevin Leffew

Nik-EpicWeb3

Jack Clancy

rogueassasin1729

esale

Riva

Tarun Mohandas Daryanani

Bellinas

Roman Mazurenko

James Dixon

Frankaus

Victor Patru

Nazzareno Massari

Litvintech

Paul Lechocki

Joey

wtf

slightlyfloating

Manank Patni

linkastic

Tanvir Ahmed

moyed

TenderDeve

Pseudomata

Peter LaFontaine

Renan Dincer

Matthieu Caneill

Enoch Mbaebie

Jung Sup (James) Yoo

Sunit Roy

Danny Ryan

iepn

fennar01

khalil7044

Hiroyuki Naito

barty

Hammad Jutt

Ben Edgington

joakimengerstam

Daniel Lumi

Sebastian Supreme

Gigabuidl

bleesherman

Tim - o2Stake

Mohit Kambli

Ritesh Singh

Anett Rolikova

Oliver

Sergey Danilovich

Pedro Rivera

Aditya Anand M C

mul53

theanneli

Sacha Saint-Leger

Ryan Higdn

Jacob

Emanuel Tesař

damilola debel

Peteris Erins

Alexander Goncalves

Oleksandr Hyriavets

0xV4L3NT1N3

barro

Rub3cula

Bal Krishna Jha

ethers

KeeCoin

Cameron Honis

jacobjelen

awallendahl

ludamad

wolz-CODElife

Tim Beccue

Neeraj Gahlot

Steven Gilbert

Kosisochukwu Ugwu

il3ven

Enton Biba

ilkererkek

Shubhi Saran

Tara Rowell

AMIT KUMAR MISHRA

Josh Stark

Marlene Marz

Felipe Selmo

Max Costa

Zandt Lavish

Jon Cursi

Christina

frankie224

Surya Prakash

Rafael Matias

Luke Ingalls

dCRYPT

Dennison Bertram

M3D

Dai Wentao

Omkar Kamale

cnn-rnn

Kaan Uzdoğan

Shivam Rajput

nysxah

benlazzero

JJOptimist

iwantanode

Hugo

browny

Thomas Brillard

Christopher Pearce

Kaven C

cradle0fFilth

Slyrik

Dima Barabash

0xx92

Kabilan

Eugene Aseev

Cardo

Kalidou Diagne

shadow

Arnaud Spanneut

DragonDev1906

Noah

Isaac Beale

Hachemi

Bingwei Qin

Seth For Privacy

Luke Fan

Dan Nolan

gorondan

Greg Lang

ytrezq

Simon Letort

n4rsil

Hwangjae Lee

zjiekai

Nishant Chandla

Yakko Majuri

Franco Zeoli

jamongeon1

RaynHarr

Marc Garreau

John Adler

Thomas

Ozora Ogino

Paul Razvan Berg

Sanjana

Minimalist Optimalist

Seungwook Chi

Devin

Stefan van As

Neographer

Suhun Kim

Robert Joseph Wayne

Horacio Bertorello

ezal

Austin Griffith

crypto8893

Anish Gupta

William Doom

BrysonXiao

Sherry.Du

Hunter Sandlin

Joseph Wallace

Zak Cole

Ven Gist

Archan Roychoudhury

Vanshika Srivastava

ETHorHIL

Mac Morgan

Denllay

Samay Lakhani

Najeeb Nabwani

Shiva Sai

Dave Mackey

Andreas Melhede

SUCI - Blockchain Hub Team

Zheng Fu

brightiron

Giorgio Nocera

Adrián Calvo

altinocoelho

Sasha Shpota

Arun Lodhi

Ricky

Scott Bigelow

Stephen Fluin

Mahesh Murthy

Pascal Marco Caversaccio

Chase Manning

Kalle Moen

Shayan Eskandari

Glory Agatevure

Jenish Thapa

SHUBHAM SHARMA

Ganesh Prasad Kumble

Justin Chow

Roberto Henríquez Perozo

Parrot Iwai

Jacobo Uribe

yujingwei

veridelisi

Jeremy Musighi

Vincent Le Gallic

Andrew Cohen

Jarrod Watts

Shikhar Singh

Noah Page

LottR079

Sarat Angajala

Brian Rossetti

RimTaeX

Nikolay Udovik

Abdul Malik

Nick Gaski

Ian Eck

stolab

cryptochrome

Jason Manoloudis

Abhay Gupta

Jason Carver

Pierre Grimaud

Sharon Wang

Ev

Golden Ite

Oli Lalonde

Nathan Woodruff

Kamil Zarzycki

Paweł Urbanek

Muhammad Altabba

Dragoon

Lukáš Kotol

chocolatesuit

David Awad

George Spasov

Sihong

Tim Mustafin

zkVlad

James Prestwich

Hunter Z

8bitp

Gift Opia

MashhoodIjaz

Damiano Azzolini

catsnackattack

Ahmed Prusevic

Aaron Chen

Neal O'Grady

James Hooper

Héctor Chong

Andrej Želonka

Attaphong Rattanaveerachanon

Anish Gupta

愚指导

Deyan Shotev

Riley Annon

0xhsy

Ryan Smith

Tanishq Sharma

TABASCO

Alexandru Turcanu

Patoshi

Ammar Husain

Andreas Florath

nobd

Arshan Khanifar

AmirAliM

Crypto Delirium

EL

Ryan Goree

Wanseob Lim

Co1nB3e

Cronos

jcamilli

tnkrxyz

Celetra

Tarun Batra

Jacob Sharples

Abhiram G P

Marius van der Wijden

Emgevorgyan

Gamaliel 'Yel' Padillo

SAI PRASHANTH VUPPALA

DeUETH

Ben

Suraj Anand

Jared Flomen

Mingo

wizard

devtooligan

Fannie Barskhian

Zaryab

woseK

Codex-Bugmenot

KΞVIN KΞlchΞ⟠

Gunal

calumtomeny

tentodev

pheeque

Paul Wackerow

under3415

Justin Hunter

Noam Eppel

Lakshman Sankar

Filippo Tarpini

mossow

Andrei Kostakov

Hayden Briese

Max

Aleksi Cohen

Arhat

Kirk

UNOFFICIALbgd

Ash@metaschool

Muhammad Ahmad

Khawla

Alex

april

Nikolay Yushkevich

EtherWorld

Emre

paulallensuxs

intldds

siddhantkharode

jddxf

Austin Burke

mmilenkovic

Van De Biao

shravanandoria

Franco Victorio

Damian Schenkelman

Lewis Chan

Conor Svensson

Gwen

chadlohrli

lamone

Adri

hanzoh

aghArdeshir

Tim Beiko

菲利

elanh

Fernando Guevara

Nikolai Golub

Matthew

Finley

Abdullahi

lightclient

Aleksandr Sobolev

Eman Herawy

João Monteiro

DamitusThyYeetus123

Cam Sweeney

Tuongg2312

xivanc

Elliott Alexander

Nebali

Andy Li

Chawye Hsu

jimmyshi

0xMimir

Renato

pytek

Teniola Fatunmbi

King

Lucas Martin Calderon

Ricardo Gonçalves

motemotech

Pavan Emani

AidanPine

Avula Ram Swaroop

abonnaudet-ledger

Becaz

flanagansteve

moretimeL

Bhargava Shastry

NilsKaden

Aryan Keluskar

Nikita Drozd

Tim

ECN

Gwenael Le Bodic

William

nxxck

Pranay Reddy

Snigdha Singh

Lililashka

juliangeissler

Iheb Haboubi

starwalker00

Yash Sharma

m4sterbunny

devELIOper

pdesmondflynn

xiaolou86

kyndrawynne

jncrabb

Lucas Amberg

LucasRoorda

Shubh Agrawal

Philip Vu

Jorge

Michael Connell

Johns Gresham

Keqi Huang

Arpit Ingle

Katie

John Bishop

Shreyas Londhe

megatheikal

GNONG

Tyler-233

Cryptoversidad

Javier Tarazaga

Markus Waas

Just some guy

Artem Vorotnikov

Alexandre Chabrolin

Mateus Pimenta

wschwab

wishee

Ozgur

Adam Goth

Preet Parekh

hakuta

huangkevin-apr

June Clarke

Kartikaya Gupta (kats)

SurpriseMF3000

Ulaş Erdoğan

Tomáš Grusz

Christopher

zjpetersen

Harikrishnan Mulackal

Andriy Zhuk

Ray Jasson

hacktar

Tyler Ilunga

sell50

Abi Prescott

mic0des

carumusan

Cheah Chu Yeow

@paulapivat

Ali Abbas

Pruthviraj Jadhav

Angela O

steph

Gerard Sans

indmind

Aaron Chen

north-vanhooser

aguzmant103

spiolat

writegr

Yash Kamal Chaturvedi

seandotau

DongXi Huang

Sandy

Chirag Shetty

trevorsc19

Milos Stankovic

MonarthS

Erik Bjäreholt

Miguel Angel Gordián

Andrey Petrov

selfwithin

Unforkable

cstradtman

Matt

questions

Hammad Saaedi

Zion

pabloped

microHoffman

John Monarch

strykerin

ryancreatescopy

Karan Kaira

Ram Shukla

Jean Zundel

Hamza Shahzad

Evgeny

superphiz

Rashid Ma

Pierre Delagrave

Kartik Jolapara

feibowei

Samarth Jindal

Thomas Lisankie

junble

Kevin Jones

Vishvanathan K

Francisco J. Moreno

Nicola Bonsi

Chen Quan

Jithil P Ponnan

Vibhor Kashyap

Ahmetbasli

darkwater4213

Colin Steidtmann

Sina Habibian

Elliot Lee

smartcontracts

Yuta Kurotaki

emmmm

VItto Rivabella

Paweł Wilczyński

Dharmik Dholariya

Nick Sawinyh

$hoot->Pairs

jeedani

Naveen Kumar

EvanVanNessEth

VikVM

Jose Manuel Garcia Rivas

Zhangyuan Nie

SanShi2023

pglekshmi

Vu Vo

Kendall Cole

David Kim

Anurag Verma

Carl Fairclough

Robert

bambooskySean

0xumarkhatab

Patrick Gallagher

0xdie

Justin Shaw

jp_aulet

mousticke.eth

Alberto Cuesta Cañada

Tahir Alvi

Finxter

Harsh Mathur

BenOfTheBlockchain

peijie

viac92

ph5500

Fatih Eren Erol

Yash Yadav

Sébastien Dan

tobi4021

Behrad Khodayar

Pierrick TURELIER

Koyah

Joris Zierold

Vaibhav Chopra

Eugene

Etan Kissling

Brian Gu

Kosuke Ogawa

Alan Toa

abhi-go

Mille Codex

Bhaskar Kashyap

Fredrik

Daniel Coffman

gingerheart86

Akira

Abel Derderian

Krishnakumar Chavan

Mislav

jJosko1986

Rory

Ali Rahman

Bilal

Vid Kersic

Julius Degesys

Katherine Champagne

Nipun Hedaoo

Bogdan Habic

Rohit Ramesh

cheeky-gorilla

Maxime Servais

Marcus Escobedo

Naman Bhalla

zeroservices

Ramandeep

Nina Breznik

Remco

Roshan

Bhargav kakadiya

Zach

Ankita Virani (ankita.eth)

LukaK

shelleyolivia

Victor Guyard

0xsenty

chriseth

thefrenchbrazilianguy

Tri-stone

James Farrell

Ken Sato

Daniel Park

Peace Ojemeh

Hodlon

Lude15

trocher

0xayot

xianxiongwang

Rodrigo vasquez

nulun

Sephiroth

Vitaly

niuhp

Michael Bianco

jakubalsoori

Michelle Plur

Patricio Palladino

Aditya Agarwal

DeFiDude

Signor Dev

Mohammed Sadiq

Pankaj Jagtap

robertu

Marcos González

smudgil

Prince Allwin

Jannis Pohlmann

Jackson Taylor

comeToThinkOfEth

Alex Ismodes

peth-yursick

Matthieu Riou

Collin K Cusce

Joseph Harris

Miroslav Lehotsky

Aranha

Haochen Song

Jack

Robert Zaremba

cooganb

Barukimang

Dave

Artur Gontijo

Saidu Sokoto

Vinicius de Morais

elshigori

Jen

parotax

Shubhankar Kanchan Gupta

Alex

shalom ezekiel

Jordan Lyall

Amith KK

Mariano Baragiola

kennethcassel

Samnang Chhun

Jakub Vysoký

Daniel Schlabach

Taimoor Ali

Brett

Scott Dodge

Sankalp Kulshreshtha

vrde

Mako Shan

Søren Rood

Ayushman Singh Chauhan

Jiwon Park

endorphin

Benjamin Smith

Mattias Nystrom

Rashell Smith

mnelsonBT

marc

yj

vasa

Archit

zkpepe

Shaunak Nagrecha

Samrat

skaunov

pranav desai

pansay

ciphernova

Saksham Thapa

Ian K. Guimarães

Julian Ste

ykaravas

manojmsrit

kwsorensen

alexsantee

Matthias Seidl

Cristian Espinoza Garner

danierod

Marius Kjærstad

Trevor French

Daehyun Paik

Ilan

Ryo Komiyama

Michael McCallam

Mert

Guillaume Claret

Marcelo T. dos Santos

Thibaut

yunseon na

DanhPTHTech

Shawki Sukkar

Jacob Willemsma

Baihao

Joseph Schiarizzi

Samarth Saxena

Sebastian T F

Marcelo Rodriguez

0xAA

ethosdev

neodaoist

B01AND

Patrick Collins

Argan Wang

Christoph Burgdorf

Lucas Fiegl

blazingrome

Leo Cuéllar

Joshua

Graeme Blackwood

mustafa

Pablo Pettinari

Phill

Tarun Gupta

Marek Kirejczyk

Jem Mawson

Yash Agarwal

SlashHash

Raymond

Will Patti

hma23

Richard McSorley

rayoo

kafeelraza

KA

Vadym Barda

Alejandro Santander

Xiangxi Guo (Ryan)

meoww-bot

Bastin

Costanza

Yaz Khoury

tomasbanik

jeremyfritzen

Rob Dawson

Barajeel

Didier Krux

Eric Chen

Mina Essam

Sumit Vekariya

Nikita Verkhovin

Andrew Yang

Artem

nace.kimura

Martin Huschenbett

HSuke

lingzhong

Sangphil Kim

booklearner

Alex

Ronnie Sherfey

Justyna Broniszewska

Jefte Costa

Gabe Casalett

Amarachi Johnson-Ubah

Konstantinos Penlidis

Manu kashyap

Polina G.

Linda Xie

MiZiet

mohan-chinnappan-n

Jorge Santana

James Boyle

Nicolás Quiroz

Zentex

Julio

mpj

Albert Lie Adrian

Ensar Yusuf Yılmaz

Tas

Alex Beregszaszi

John Craig

Arghya Biswas

Oskar Mendel

shreyashariharan3

Blaine Malone

Rahul

Bruce-Leung

umede

inlak16

tophersjones

Lucas Aschenbach

sassal

Bob Jiang

Maurelian

Odair Augusto Trujillo Orozco

Gastón Zanitti

Stuart Reynolds

Hitishaa

Dan Dadybaev

acceptacross

Matt Kula

Abhishek Raj

Zainab Hasan

Loïc Albertin

think-in-universe

Gustavo Esquinca

Antonio Della Porta

Sora Nature

machin3boy

CodeDragonVN

Solexplorer

Yahsin Huang

Phat Nguyen Luu

0xMushow

mhairimcalpine

Pablo

decifer

Vaishnavi Joshi

Shailendra Shukla

Pandit Dhamdhere

Kamil

Jay Welsh

WuRuiLei2023

Douglas Makey Mendez Molero

Robert Dosa

David7877

Stanislav Bezkorovainyi

Florian Sesser

Jacob Burden

Justin Traglia

siddtheone

Christopher Hegre

Vijayendra Gaur

vuittont60

Venom

Dmitry

Ewa Kowalska

Anna Karpińska

Tommaso Tosi

Fuliggine

shir22

Ashwin Nair

Ishaan Parmar

hexcow

gooser.eth

ecabras

Skylar Weaver

SuperDelphi

Nick Savers

Alexey Nebolsin

Rootul Patel

Geoff Hull

caveman.eth

Hun Ryu

Yussuf Elarif

Aheesh

Wim Notredame

rolodexter

@karelxfi

mradkov

qiuhaohao

shak58

tvanepps

robriks

ReDrawn

Pankaj Patil

Aniruddha Sil

Garen Woo

dswilson4

Alberto Gualis

matteopey

Benedikt Wagner

Andreas Sofos

Sahil Aujla

Colin McKerracher

Ardis Lu

A.L.

Rafa Gomes

Alex Singh

JosefJ

Claudio2000

N Fx

Jinho Jang

Daniel Soohan Park

Paul Fletcher-Hill

Jaroslav Macej

NoahSchick

Andrew Gallagher

Alex Olson

JesseAbram

4EVERLAND

Kartik Chopra

Calvin Storoschuk

Ogunsina Champion

alexiskefalas

Aldi Zhupani

Ake

Pranesh A S

Anurag Pal

Akamig

Aditya Dhir

Corwin Smith

Galen Moore

kuhant

baub

Erik Vandeputte

Tanmay Nagepatil

Pooja Ranjan

Tom Robiquet

bgillcode

jayssj11

Micah Zoltu

nijr

juliettech

duckdegen

Amit Gaikwad

daniel sieradski

Ukurasa ulisasishwa mwisho: 13 Aprili 2026

Je, makala haya yalikuwa ya msaada?