Ruka kwenda kwenye maudhui makuu
Pata picha ya shujaa wa ETH

Mahali pa kupata ETH

Unaweza lipwa ETH, pokea kutoka kwa watu wako, au nunua kutoka kwenye huduma za mabadilishano na programu.


Bei ya sasa ya ETH(USD)

Inapakia...
(Saa 24 zilizopita)
Tafuta kwa nchi

Sehemu kuu za ubadilishaji

SEhemu za kufanyia mabadilishano ni sehemu za biashara ambazo hukuruhusu kununua kripto kwa kutumia fedha za jadi. Zina ulinzi wa fedhazako zote mpaka pale utakapozituma kwenda kwenye pochi ya Ethereum amabayo utakua unaidhibiti.

Pata ETH

Unaweza pata ETH kwa kufanyakazi kwenye DAO au kampuni ambazo zinalipa kwa kripto, kushinda zawadi, kutafuta tatizo kwenye programu na zaidi.

Pokea ETH kutoka kwa wenzako

Pale ambapo unakuwa na akaunti ya Ethereum, kitu unachohitajika kufanya ni kusambaza anwani yako kuanza kutuma na kupokea ETH (na tokeni nyinginezo) mtu-kwa-mtu.

Sehemu za kufanya mabadilishano ambazo zimegatuliwa(DEXs)

Kama unataka udhibit zaidi, nunua ETH . Ukiwa na DEX unaweza kufanya biashara bila kugawia makampuni ya kati nguvu ya udhibiti wako. Mkataba-erevu.

Pochi

Baadhi ya pochi hukuruhusu kununua kripto kwa kadi ya benki/kadi ya mkopo, uhamisho wa benki kwenda kwenye pochi au hata kwa kutumia malipo ya Apple Pay. Vizuizi vya kijografia vitatumika.

Zawadi ya kuweka dhamana

Kama tayari una kiasi fulani cha ETH, unaweza kupata nyingi zaidi kwa kuendesha nodi ya uthibitishaji. Unalipwa kwa kufanya ivi kwa kuthibitisha kazi ndani ya ETH.

Bidhaa zote zilizo zilizoorodheshwa kwenye ukurasa huu sio uthibitisho rasmi, na zinatolewea kwa kusidi la chanzo cha taarifa tu. kama unataka kuongeza bidhaa ama kutuma maoni juu ya sera ongea suala kwenye Github. Ongeza suala(opens in a new tab)

Unaishi nchi gani?

Sehemu za mabadilisho ya kripto zinavikwazo juu ya sehemu watakapo uza sarafu za kidijitali. Hii ni orodha ya mwelekeo wa huduma zinazozaniwa kufanya kazi kwa kila nchi. Kuwepo hapa sio uidhinishaji unatakiwa kufanya utafiti wako mwenyewe!

Andika unapoishi...

Ingiza nchi unayoishi ili uone orodha ya sehemu za mabadilishano unayoweza kutumia

Sehemu za kufanya mabadilishano ambazo zimegatuliwa(DEXs)

DEX ni nini?

Sehemu za kufanyia mabadilishano zilizogatuliwa ni masoko hurua kwa ETH na ishara nyingine. Zinaunganisha wanunuzi na wauzaji moja kwa moja.

Badala ya kutumia mhusika wa tatu anayeaminika kulinda fedha kwenye muamala, zinatumia msimbo. ETH ya muuzaji itahamishwa pale amabapo malipo yanadhamana. Aina hii ya msimbo unaitwa mkataba-erevu. Zaidi juu ya mikataba erevu

Hii inamaana kuna vizuizi vya kijografia vichache zaidi ukulinganisha na malipo yalio chini ya serikali au kampuni. Kama mtu anauza kitu unachotaka na wanapokea mfumo wa malipo ulionao, uko vizuri kwenda.

Utahitaji pochi ili kutumia DEX.

Pata pochi

Nunua kwa kutumia kripto nyingine

Badilisha ishara zako kwa ETH za watu wengine. Na kinyume chake.

Weka ETH yako salama

Machapisho ya jumuiya juu ya ulinzi

Ethereum haidhibitiwi na shirika lolote - imegatuliwa.

Lakini hii inamaana kwamba unatakiwa kuwa makini na usalama wa fedha zako. Ukiwa na ETH, hautaamini benki au kampuni kulinda pesa zako, unachukua majukumu yako mwenyewe.

Weka ETH zako kwenye mkoba wako

Moja ya vipengele vikuu vya Ethereum ni kuwa unakua na umiliki wa mali zako mwenyewe kwa kusimamia akaunti yako. Hii inamaanisha hauhitaji kuamini mtu wowote wa ziada na mali zako, na pia unalindwa kutoka kwa uthibiti ambao hufanya uongo, kwenda kufilisika au kudukuliwa. Hata ivyo, inamaanisha unachukua majukumu ya ulinzi kwa ajili yako.

Anagalia pochi

Anuani yako ya ETH

Utakapopakua pochi itaunda anuani itakayokuwa ya umma kwa ajili yako. Mfano wa jinsi itakavyoonekana huu hapa:

0x0125e2478d69eXaMpLe81766fef5c120d30fb53f

Mfano: Usiigilizie

Ifikirie hii kama anuani yako ya barua pepe, lakini badala ya barua inaweza kupokea ETH. Kama unataka kuhamisha ETH kutoka kwenye soko la mabadilishano kwenda kwenye pochi yako, tumia anuani yako ya umma. Hakikisha unaikagua mara mbili mbili kabla ya kutuma!

Fuata maelekezo

Ukishindwa kuingia kwenye mkoba wako, utapoteza ufikiaji wa fedha zako. Mkobwa wako inajukumu la kukupa maelekezo juu ya kujilinda dhidi ya hili swala. Hakikisha unayafuata kwa umakini - Mara nyingi, hamna mtu atakaeweza kukusaidia ukipoteza ufikiaji wa mkoba wako.

Je! ukurasa huu umekusaidia?