Kuna toleo jipya la ukurasa huu ila liko kwenye Kiingereza tu hivi sasa. Tusaidie kutafsiri toleo jipya zaidi.
Ukurasa huu hautafsiriwi. Tumeuacha ukurasa huu kwa Kiingereza kwa sasa.
Jamii ya wana-ethereum itanufaika siku zote kutoka kwa watu wanaoendesha wateja, uwekaji wa hisa, na kuondoa wadudu kwenye msimbo.
Kuendesha mteja inamaana utakua mshiriki hai kwenye Ethereum. Mteja wako atasaidia kufuatilia miamala na kukagua bloku mpya.
Kama una ETH, unaweza kusimamisha hisa ili kua mthibitishaji na usaidie kulinda mtandao. Kama mthibitishaji unaweza kupata zawadi ya ETH.
Jiuinge na jamii kwenye juhudi za majaribio! Saidia kujaribisha visasisho vya Eth2 kabla havijatumwa, tafuta wadudu, na pata zawadi.
Ufungua wa kudumu wa usalama wa Ethereum ni usambazji wa nguvu wa wateja. Mteja ni programu inayoendesha mnyororo wa Ethereum, kukagua miamala, na kuunda bloku mpya kwenye mnyororo. Kila mteja ana huduma zake, kwahiyo chagua moja kulingana na kile unachoona ni rahisi kwako. More on client diversity.
These clients were formerly referred to as 'Eth1' clients, but this term is being deprecated in favor of 'execution layer' clients.
These clients were formerly referred to as 'Eth2' clients, but this term is being deprecated in favor of 'consensus layer' clients.
Unaweza kuweka hisa zakpo za ETH ili kuongeza usalama kwenye mnyororo kioleza.
Tafuta na toa taarifa za wadudu walioko kwenye visasisho maalumu vya safu ya makubaliano au programu/wateja wenyewe. Unaweza kujipatia mpaka dola $50,000 na kujipa nafasi katika bodi ya viongozi.
Mdudu anaweza kua:
Kama ilivyo na vitu vingi kwenye Ethereum, utafiti mwingi uko wazi kw umma. Hii inamaana kwamba unaweza kushiriki katika mijadala au ukasoma ni nini watafiti wa Etherteum wanacho cha kusema. ethresear.ch inabeba mengi zaidi ya maboresho ya safu ya makubaliano, ugawanyaji, na uundaji mpya wa programu, na mengine mengi.