Kuweka dhamana ni nini?
Uwekaji dhamana ni tendo la kuweka ETH 32 kama amana ili kuamilisha programu ya . Kama mthibitishaji utakua na jukumu la kutunza data, kuchakata miamala, na kuongeza mpya kwenye mnyororo. Hii itafanya Etherereum kuwa salama kwa kila mtu na wewe kujipatia ETH mpya wakati wa mchakato huo.
Kwa nini uweke dhamana ETH zako?
Pata zawadi
Zawadi zinatolewa kwa vitendo vinavyosaidia mtandao kufikia . Utapata zawadi kwa kugonga miamala kwenye bloku mpya au kwa kukagua kazi ya wathibitishaji wengine kwasababu hio inafanya mtandao uendelee kufanya kazi kwa usalama zaidi.
Usalama bora
Mtandao unakuwa imara zaidi ya mashambulizi pale ambapo ETH nyingi zinawekwa dhamana, kwa jinsi inavyotakiwa ETH nyingi zaidi kudhibiti sehemu kubwa ya mtandao. Kuwa tishio utahitajika kuthibiti sehemu kubwa ya ETH kwenye mfumo - na hiyo ni nyingi!
Endelevu zaidi
Waweka dhamana wanahitajika kutumia nishati nyingi kwenye uthibitisho-wa-kazi kushiriki kulinda mtandao ikimaanisha kuwa nodi za uwekaji dhamana zinafanya kazi sawa sawa lakini vifaa vinatumia nishati kidogo.
Jinsi ya kusimamisha hisa zako za ETH
Yote inategemeana na kiasi uko tayari kuweka dhamana. Utahitajika kuwa na ETH 32 kukamilisha kumiliki uthibitishaji wako, lakini pia inawezekana kuweka dhamana kwa kiasi kidogo.
Angalia chaguo hapa chini hapo na nenda na nzuri ambayo inaendana na wewe, na kwa mtandao pia.
Uwekaji dhamana wa binafsi
Athari zaidi
Udhibiti kamili
Zawadi kamili
Kutoaminika
Uwekaji dhamana wa Ethereum ndio kiwango cha dhahabu kwa ajili ya uwekaji dhamana, Inatoa ushiriki kamili wa zawadi, inaboresha ugatuzi wa mtandao, na haihitaji kuamini mtu yoyote na fedha zako.
Wanaofikiria kuweka dhamana binafsi unatakiwa kuwa angalau na kiasi cha ETH 32 na kompyuta maalumu iliyounganishwa na intaneti masaa 24 siku 7 za wiki. Baadhi ya ufundi utasaidia, ila vifaa rahisi vya kutumia sasa vipo kukusaidia kurahisisha mchakato huu.
Home stakers can pool their funds with others, or go solo with at least 32 ETH. Liquid staking token solutions can be used to maintain access to DeFi.
Usimamishaji wa hisa kama huduma
ETH 32 zako
Funguo za mdhibitishaji wako
Operesheni ya nodi iliyokubalika
Kama hutaki au hujisiki vizuri kuhangaika na vifaa lakini bado unataka kuweka dhamana ETH 32 zako, chaguzi ya weka-dhamana-kama-huduma inakuruhusu kuachana na sehemu ngumu huku ukipata zawadi alisi za bloku.
Chaguzi izi kikawaida zinatutembelezesha kupitia kuunda baadhi ya hati za uthibitishaji, kutuma funguo zako za kusaini kwao, na kuweka ETH 32. Hii inaruhusu huduma kuthibitshwa kwa niaba yako.
Mbinu hii inhitaji uwezo fulani wa uaminifu kwa mtoa huduma. Kuweka kikomo cha hatari, ufunguo wa kutoa ETH zako kwa kawaida zinaekwa kwenye milki yako.
Usimamishaji wa hisa wa kundi
Weka kliasi chochote
Pata zawadi
Ifanye kuwa rahisi
Maarufu
Baadhi ya suluhisho ya madaraja wa uwekaji dhamana kwa pamoja sasa yapo kuwasaidia watumiaji ambao awajisiki sawa kuweka dhama ETH 32.
Mengi ya chaguzi hizi ikiwemo inayojulikana kama 'kuweka dhamana ukwasi' ambayo inahusisha tokeni za ukwasi zinazowakilisha ETH zako ulizoweka dhamana.
Kuweka dhamana ukwasi inaruhusu urahisi na muda wowote kutoka na kufanya kuweka dhamana kuwa rahisi kama kubadilisha tu token. Chaguzi hii inaruhusu mtumiaji kujisiamamia kutunza mali zao kwenye wa Ethereum.
Madaraja ya kuweka dhamana kwa pamoja sio halisi kwenye mtandao wa Ethereum. Mashirika ya ziada yanatengeneza suluhisho ya haya, na wanabeba hatari zake wao wenyewe.
Sehemu za kufanya mabadilishano ambazo hazijagatuliwa
Athari kidogo
Mawazo ya uaminifu wa juu
Majukwa mengi ya mabadilishano ya mtu wakati yanatoa kuweka dhamana kama huduma na kama unaona sio sawa kuhifadhi ETH kwenye mkoba wako. Kuna weza kuwa na matatizo kukuwezesha kuvuna faida ya ETH zako unazoshikilia kwa nguvu kidogo.
Mabadilishano hapa ni kuwa mtoa huduma wa kati wanakusanya mialiko mikubwa ya ETH ili kuendesha idadi kubwa ya wathibitishaji. Hii inaweza ikawa hatari kwa mtandao na watumiaji wake na pia inatengeneza lengo kubwa la kati na nafasi ya kushindwa, kuweka mtandao kwenye hatari kutokana uzaifu kwa mashambulio na dosari.
Iwapo kama haujisikiii vizuri kushikilia mwenyewe, hilo ni sawa. Chaguzi hizi zipo hapa kwa ajili yako. Wakati huo huo fikiria kutembelea ukurasa wetu wa mkoba ambapo unaweza anza kujifunza jinsi ya kuchukua umiliki wa kweli ya fedha zako. Endapo utakuwa tayari, rudi na uboreshe mchezo wako wa uwekezaji kwa kujaribu moja ya huduma za kujisimamia kuweka dhamana zinazotolewa.
Kama ulivyogundua, kuna njia mbali mbali za kushiriki kuweka dhamana kwenye Ethereum. Njia hizi zinajenga aina mbali mbali za watumiaji na hatimaye kila moja ni ya kipekee na inayotofautiana kwa upande wa hatari, zawadi na dhana ya uaminifu. Baadhi ni zipo gatuzi zaidi, zimejaribiwa zaidi kwenye mapambano au hatari zaidi ya nyinginezo. Tunatoa baadhi ya taarifa kuhusu miradi maarufu katika eneo hili, lakini daima fanya tafiti yako kabla ya kutuma ETH popote pale.
Ulinganisho wa chaguzi wa kuweka dhamana
Hakuna suluhisho linaloweza kuenea kuweka dhamana, na kila moja ni ya namna ya kipekee. Hapa tutafananisha baadhi ya hatari, zawadi na vitu vinavyo hitajika kwa jinsi tofauti tofauti unaweza kuweka dhamana.
Usimamishaji binafsi wa hisa
Zawadi
- Zawadi ya juu - pokea zawadi kamili moja kwa moja kutoka kwa itifaki
- Utapata zawadi kwa kuunganisha miamala kwenye bloku mpya au kuangalia kazi za wathibitishaji wengine kufanya mnyororo kufanya kazi salama
- Na pia utapata miamala ambayo ada yake aijachomwa kwa bloku unaopendekeza
Hatari
- Umeweka hisa yako ya ETH
- Kuna makato, ambayo yana gharimu ETH, kwa kutokuwa mtandaoni
- Tabia mbaya inaweza kupelekea kwenye 'makato' ya kiwango kikubwa cha ETH na kulazimisha kutolewa kwenye mtandao
- Minting a liquid staking token will introduce smart contract risk, but this is entirely optional
Mahitaji
- Unatakiwa kuweka ETH 32
- Dumisha vifaa vinavyoendesha vyote Ethereum na huku ikiwa imeunganishwa kwenye intaneti
- Jukwa la uzinduzi wa kuweka dhamana(opens in a new tab) litakutembeza wewe kupitia mchakato na mahitaji ya vifaa
Usimamishaji wa hisa kama huduma
Zawadi
- Kikawaida inahusisha itifaki kamili pia toa ada za mwezi kwa ajili ya waendesha nodi
- Dashibodu inapitakana kwa ajili ya kufuatilia programu yako ya uthibitishaji
Hatari
- Hatari hiyo kama muweka dhamana binafsi jumlisha na hatari kwa mtoa huduma wako
- Matumizi ya funguo zako za kusaini haya aminiwi kwa mtu ambaye anaweza akawa na tabia mbaya
Mahitaji
- Weka ETH 32 na zalisha funguo zako na usaidizi
- Hifadhi funguo zako kwenye usalama
- Yaliyobakia ufanyiwa kazi, japo huduma maalumu hutofautiana
Usimamishaji wa hisa wa kundi
Zawadi
- Waweka dhamana kwenye madaraja ya pamoja wanapokea zawadi kwa njia nyinginezo, kutokana na njia walizotumia za madaraja ya kuweka dhamana waliochagua
- Madaraja mengi ya kuweka dhamana kwa pamoja yanatoa moja au zaidi za zinazowakilisha ETH zako ulizoziweka dhamana jumlisha na ushiriki wa zawadi yako ya uthibitishaji
- Tokeni za ukwasi zinawezwa kushikiliwa kwenye mkoba wako mwenyewe, inatumiaka kwenye na kuuzwa kama ikiamua kutoka
Hatari
- Hatari inatofautiana kutokana na njia zinazotumika
- Kwa ujumla, hatari inajumuisha jumla ya hatari ya upande wa pili erevu na hatari za utendaji
Mahitaji
- Kiasi kidogo cha ETH kinachohitajika, baadhi ya miradi inahitaji kiasi kidogo kama ETH 0.01
- Weka moja kwa moja kutoka kwenye pochi wako kwenda kwenye madaraja tofauti ya majukwaa ya dhamana au kwa urahisi badilisha kwa dhamana ya moja ya tokeni ukwasi
Maswali Yanayoulizwa Sana
Soma zaidi
- Sababu ya ubunifu wa Serenity - Vitalik Buterin
- Habari za Eth2 - Ben Edgington
- Hitiisho namba 33, safu ya makubaliano ya Ethereum (Jan 2022) - Danny Ryan
- Machapisho ya mthibitishaji
- Beaconcha.in Jumuiya Imechangia Nyenzo za Elimu
- Jukwaa la kuzindua uwekaji dhamana la Ethereum Maswali na Majibu
- Waweka dhamana wa Eth eneo la maarifa