Je! Ungependa kuanza?
Jifunze utengenezaji wa Ethereum
Soma juu ya dhana za msingi na mpororo wa Ethereum na hati zetu
Jifunze kupitia mafunzo
Jifunze utengenezaji wa Ethereum hatua kwa hatua kutoka kwa wajenzi ambao tayari wameufanya.
Anza majaribio
Unataka kujaribu kwanza, uliza maswali baadaye?
Tengeneza mazingira
Andaa mpororo wako tayari kwa ujenzi kwa kusanidi mazingira ya utengenezaji.
Learn all the most important concepts by building on Ethereum
SpeedRun Ethereum(opens in a new tab)Kuhusu rasilimali za msanidi programu
ethereum.org iko hapa kukusaidia kujenga na Ethereum na nyaraka juu ya dhana za msingi na pia safu ya maendeleo. Kwa kuongeza kuna mafunzo ya kukufanya uweze kujiendeleza.
Iliyotiwa moyo na Mtandao wa Wasanidi Programu wa Mozilla, tulifikiri Ethereum inahitaji mahali pa kuweka bidhaa na rasilimali bora za msanidi programu. Kama marafiki wetu huko Mozilla, kila kitu hapa ni chanzo-wazi na tayari kwako kutanua na kuboresha.
Ikiwa una maoni yoyote, tuwasiliane kupitia GitHub au kwenye seva yetu ya Discord. Jiunge Discord(opens in a new tab)