Klijenti zilizojumuishwa kwenye tuzo











Ndani ya Upeo
Programu yetu ya tuzo za hitilafu inahusisha mwanzo hadi mwisho: kuanzia uimara wa itifaki (kama vile muundo wa mwafaka wa mnyororo wa vitalu, itifaki za waya na p2p, uthibitisho wa dau, n.k.) na uzingatiaji wa itifaki/utekelezaji hadi usalama wa mtandao na uadilifu wa mwafaka. Usalama wa klijenti wa kawaida pamoja na usalama wa misingi ya kificho pia ni sehemu ya programu. Ufichuaji wote wa hitilafu na mawasilisho ya udhaifu lazima yafanywe kupitia fomu yetu ya kuwasilisha hitilafu (opens in a new tab).
Sifa za ukali wa udhaifu
Ukali hutathminiwa kulingana na uwezo wa kipekee wa kila udhaifu uliogunduliwa kufanya yafuatayo:
Wasilisha hitilafu
Ubao wa wanaoongoza wa Tuzo za Hitilafu za Tabaka la Utekelezaji
Tafuta hitilafu za tabaka la utekelezaji ili uongezwe kwenye ubao huu wa wanaoongoza
Ubao wa wanaoongoza wa Tuzo za Hitilafu za Tabaka la Mwafaka
Tafuta hitilafu za tabaka la mwafaka ili uongezwe kwenye ubao huu wa wanaoongoza
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Kuwasilisha bila kujulikana au kwa jina bandia ni Sawa, lakini kutakufanya usistahili kupata tuzo za ETH/DAI. Ili ustahiki kupata tuzo za ETH/DAI, tunahitaji jina lako halisi na uthibitisho wa utambulisho wako utumwe, ukiwa umesimbwa kwa njia fiche kwa kutumia PGP kwenye tovuti yetu salama ya kutuma, kwa timu yetu ya kisheria katika Taasisi ya Ethereum ambao ndio wakaguzi pekee wa nyaraka. Kutoa tuzo yako kwa shirika la hisani hakuhitaji utambulisho wako.
Tafadhali tujulishe ikiwa hutaki jina/jina lako la utani lionyeshwe kwenye ubao wa wanaoongoza.


























































































