Kuongeza maneno ya kamusi
''Eneo hili hubadilika kila siku.''. ''Maneno mapya huingia mara kwa mara katika msamiati wa watumiaji wa Ethereum, na tunahitaji msaada wako kutoa marejeleo sahihi na ya kisasa kwa maneno yote yanayohusiana na Ethereum.''. Angalia kamusi ya sasa na tazama hapa chini ikiwa unataka kusaidia!
Viwango
''Masharti mapya ya kamusi yatakaguliwa kwa kuzingatia vigezo ifuatavyo.'':
- ''Je neno/ ufafanuzi huu ni wa kisasa na unahusiana na hali ya sasa?
- ''Je kuna neno linalofanana tayari kwenye kamusi?''? ''(Iwapo ndivyo, zingatia faida za kuongeza neno jipya dhidi ya kusasisha neno iliyokuwepo tayari).''
- ''Je neno/ufafanuzi bila matangazo ya bidhaa au maudhui mengine ya matangazo?
- ''Je neno/ufafanuzi lina uhusiano wa moja kwa moja na Ethereum?
- ''Je, fasiri hiyo ni ya kimaadili, sahihi na haina maoni ya kibinafsi au upendeleo?
- ''Je chanzo ni cha kuaminika? ''Je wanafanya vyanzo vyao?
Ongeza neno lako
Ikiwa unataka kuongeza neno la kamusi kwenye ethereum.org na linakidhi vigezo, tengeneza suala kwenye GitHub (opens in a new tab).
Ukurasa ulihaririwa mwisho: 15 Agosti 2023