Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Shukrani za wachanhiaji

Progrmu ya kutafsiri ni ya nguvu ya ushirikiano na maelfu wa wachangiji wanajihusisha na kutoa mda wao na kutusaidia kutengeneza tovuti inayopatikana katika lugha nyingi iwezekanavyo.

Ukurasa huu unadhamiria kuwatambua watafsiri wetu na juhudi zao, kuonyesha wachangiaji bora zaidi, na kuwaunga mkono kwenye taaluma zao.

Watadsiri wote walio hai kwenye kazi zetu kwenye Crowdin wanaangazwa kwenye ukurasa wetu wa wachangiaji. Angalia watafsiri wote wa ethereum.org.

Watafsiri wanaochangia zaidi katika kipindi fulani watapewa nafasi katika ubao wa matangazo wa wafasiri wanaoongoza.

Picha ya hero shiba ya programu ya utafsiri

Ubao wa wanaoongoza katika kutafsiri

#
Mtafsiri
Jumla ya maneno
SatglowHungarian
20990
Feek131Chinese Traditional
12287
airwandVietnamese
10141
4
Kuu_Filipino
9986
5
OmegaaaVietnamese
9968
6
Velcro_RURussian
9959
7
Herbie_23Italian
8984
8
mr_giorgosGreek
8435
9
olumhensebenYoruba
6718
10
HiroyukiNaitoJapanese
6180

Tunataka kuangaza wafasiri bora kwa kuangalia kazi zao za hivi karibuni na pia kuwoenyesha wachangiaji walio na mchango mkubwa zaidi kuliko wote. Ubao wa wanaoongoza unafuatilia wafasiri walio hai zaidi kwa kuongalia mwezi, miezi mitatu na mwonekano wa wakati wote, na wanasasishwa kila mwanzo wa mwezi. Wafasiri wanawekwa kwenye ubao wa wanaoongoza kulingana na wingi wa maneno "yalioshinda" (maneno yaliothibitishwa wakati wa uhakiki).

Watafsiri wetu

Jamii ndio moyo wa programu ya ufasiri wa ethereum.org. Chunguza jamii kamili ya watafsiri hapo chini.

Angalia watafsiri wote

Angalia orodha kamili ya wa wafasiri wliojitolea mda wao na ujuzi kusaidia kufanya maudhui ya Ethereum kuwepo kwa kila mmoja.

Cheti

Tuantaka kuwatambua wafasiri wetu na kuwaunga mkono katika njia zao kupata kazi. Na hili kibindoni, tumetayarisha cheti cha mtafsiri wa ethereum.org.

Cheti hiki kinalenga wataalamu na wafasiri chipukizi wanaotaka kutumia cheti hiki kama kumbukumbu, kuthibitisha utaalamu wao katika kutafsiri maudhui ya kitaalamu au kuonyesha wakfu wao kwa Ethereum.

Kama umeshachangia kwenye programu hii ya kutafsiri na umefasiri idadi ya maneno 5,000, unaweza kuomba cheti chako cha ufasiri kwa kutuandikia kupitia translations@ethereum.org. Ujumbe wako uhusushe kiungo kwenda kwenye akaunti yako ya Crowdin na jina lako kamili (au pak, kama unapendelea), amabayo tutaongeza kwenye cheti.

translator certificate

OATs

Wachangiaji kwenye Programu ya Tafsiri wanastahiki OATs (tokeni za mafanikio za onchain) tofauti – tokeni zisizo kuvu zinazothibitisha ushiriki wao katika Programu ya Tafsiri ya ethereum.org.

Tuna idadi ya OATs tofauti zinazopatikana kwa watafsiri, kulingana na shughuli zao.

Ikiwa umechangia katika juhudi za tafsiri katika Crowdin, una OAT inayokusubiri!

Jinsi ya dai

  1. Jiunge na Seva ya Discord (opens in a new tab)
  2. Bandika kiungo cha akaunti yako ya Crowdin katika chaneli ya #🥇 | proof-of-contribution.
  3. Subiri mwanachama wa timu yetu akukabidhi majukumu yanayohitajika ili kudai OATs zako.
  4. Dai OATs zako!

Unapaswa kutumia tu mikoba ya kujihifadhi kudai OATs. Usitumie akaunti za mabadilishano au akaunti zingine ambazo huna funguo zake binafsi, kwani hizi hazitakuruhusu kupata na kudhibiti OATs zako.

Je! ukurasa huu umekusaidia?