Jifunze kwa usimbuaji
Vifaa hivi vitakusaidia kufanya majaribio ya Ethereum kama ungependa maingiliano zaidi wakati wa kujifunza.
Visanduku vya msimbo
Hivi visanduku vitakupa nafasi ya kufanya majaribio ya uandishi wa mikataba erevu na kuielewa Ethereum.

ChainIDE
Get started on your journey to Web3 by writing smart contracts for Ethereum with ChainIDE. Use the built-in templates to learn and save time.
Solidity
web3

Replit
Mazingira yanayoweza kubalishwa kulingana na mahitaji ya Etehreum yenye kasi ya upakiaji, kukagua makosa, na misaada ya ukaguzu wa mtandao ya kiwango cha juu.
Solidity
web3

Tenderly
Tenderly Sandbox is a prototyping environment where you can write, execute, and debug smart contracts in the browser using Solidity and JavaScript.
Solidity
Vyper
web3

Remix
Unda, tuma na simamia mikataba erevu ya Ethereum. Pata mafunzo na programu-jalizi ya Learneth.
Solidity
Vyper

Eth.build
Sanduku la kuelimisha kuhusu web3, ikijumuisha mtindo wa kuprogramu kwa kuvuta-na-kudondosha na ni vifaa vya kujengea vilivyo huria.
web3

DApp World
A blockchain upskilling ecosystem, including courses, quizzes, hands-on practice, and weekly contests.
Solidity
web3
Remix na Replit ni zaidi ya eneo la majaribio, wasanidi programu wanaweza kuandika, kukusanya na kupeleka mikataba erevu mtandaoni kwa kuzitumia.
Mafunzo kwa njia ya mchezo wa mwingiliano
Jifunze huku unacheza. Mafunzo haya yatakufundisha vitu vyote vya msingi kwa kutumia gameplay.

Capture The Ether
Kamata Ether ni mchezo ambao utadukua mikataba erevu ya Ethereum ili kujifunza kuhusu usalama.
Solidity

Node Guardians
Node Guardians is a gamified educational platform that immerses web3 developers in fantasy-themed quests to master Solidity, Cairo, Noir, and Huff programming.
Solidity
web3
Mafunzo kwa wasanidi programu
Kozi za mtandaoni zilizolipiwa zitakuwezesha haraka.

Platzi
Learn how to build dapps on Web3 and master all the skills needed to be a blockchain developer.
Solidity
web3

ConsenSys Academy
Kamabi ya kujifunzia ya usanidi programu za Ethereum mtandaoni.
Solidity
web3

BloomTech
Kozi ya BloomTech Web3 itakufundisha ujuzi wanaotafuta waajiri kutoka kwa wahandisi.
Solidity
web3

NFT School
Chunguza nini kinaendelea na ishara-zisizokuvu, au NFT kutoka kwa mafundi.
Solidity
web3

Speed Run Ethereum
Speed Run Ethereum is a set of challenges to test your Solidity knowledge using Scaffold-ETH
Solidity
web3

Alchemy University
Develop your web3 career through courses, projects and code.
Solidity
web3

LearnWeb3
LearnWeb3 is a free, high quality education platform to go from zero to hero in web3 development.
Solidity
web3

Cyfrin Updraft
Learn smart contract development for all skill levels and security audits.
Solidity
web3