Angalia anwani ya mkataba wa amana
Hii ndio anuani ya kuweka mkataba wa hisa kwenye Ethereum. Tumia ukurasa huu kuhakikisha unatuma fedha kweye anwani sahihi unaposimamisha hisa zako.
Hapa sipo unapoweka hisa
Kuweka hisa zako za ETH lazima utumie pedi ya uzinduzi ilioundwa kwa ajilio hio na fuata maelekezo. Kutuma ETH kwenye anwani ilioko kwenye ukurasa huu, haitakufanya wewe kuwa mwanahisa na italeta tokeo la muamala ulioshindwa. Zaidi juu ya kusimamisha hisa
Weka hisa kwa kutumia pedi ya uzinduzi(opens in a new tab)Anagalia vyanzo hivi
Tunategemea kuwa na anwani batili nyingi na matapeli. Ili uwe salama, kagua anwani ya mkataba wa hisa unayotumia kuweka hisa dhidi ya anwani ilioko kwenye ukurasa huu. Tunashauri uikagua na vyanzo vingine vinavoaminika.
Kagua anwani ya amana ya mkataba
Thibitisha ili kuweka anwani wazi
Kutuma hela kweye anwani hii haitafanya kazi na haitakufanya wewe mwanhisa. Lazima ufuate maelekezo ya pedi ya uzinduzi. Tumia pedi ya uzinduzi(opens in a new tab)