Ruka hadi maudhui makuu

Kuhusu Frame

Frame ni mkoba wa Ethereum unaozingatia faragha unaofanya kazi asilia kwenye macOS, Windows na Linux.

Vipengele

  • Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)

  • Usaidizi wa NFT

  • Tabaka la 2

  • Usaidizi wa mkoba wa maunzi

  • Usaidizi wa ENS

  • Uwekaji dhamana

  • Mabadilishano

Usalama

  • Chanzo wazi

  • Umiliki binafsi

  • Miamala ya faragha

Nunua / uza kripto

  • Nunua kripto

  • Uza kwa pesa taslimu

Mkataba mahiri

  • Saini-nyingi

  • Urejeshaji wa kijamii

  • Akaunti mahiri

  • Maboresho ya akaunti

Ya hali ya juu

  • Uingizaji wa RPC

  • Uingizaji wa tokeni

  • Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi

Maelezo

Lugha
Kiingereza
Orodha imekaguliwa
Januari 2025

Mikoba inayofanana

Trust Wallet
NFTs
Fedha
Msanidi

Simu ya mkononi · Kivinjari

Kiingereza · Kiarabu

Ada ya kununua: imewekwa na mtoa huduma

Ambire
NFTs
Fedha
Msanidi

Kivinjari

Kiingereza

Ada ya badilishano/daraja: 0.5%

Zerion Wallet
Mgeni kwenye kripto
NFTs
Fedha
Msanidi

Eneo-kazi · Simu ya mkononi · Kivinjari

Kiingereza · Kirusi

Ada ya badilishano/daraja: 0.67% (chini zaidi ukiwa na Premium), Ada ya kununua: imewekwa na mtoa huduma