Ruka hadi maudhui makuu

Kuhusu io.finnet MPC wallet for Business

io.finnet ni mkoba wa kujisimamia wa MPC kwa biashara. Uwezo wa kusaini umegawanywa kati ya wanachama wa timu ili hakuna mtu mmoja au kifaa kinachoshikilia ufunguo kamili, kukiwa na usaini wa simu na usaidizi wa minyororo mingi.

Vipengele

  • Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)

  • Usaidizi wa NFT

  • Uwekaji dhamana

  • Tabaka la 2

  • Mabadilishano

  • Usaidizi wa mkoba wa maunzi

  • Usaidizi wa ENS

Usalama

  • Chanzo wazi

  • Umiliki binafsi

  • Miamala ya faragha

Nunua / uza kripto

  • Nunua kripto

  • Uza kwa pesa taslimu

Mkataba mahiri

  • Saini-nyingi

  • Urejeshaji wa kijamii

  • Akaunti mahiri

  • Maboresho ya akaunti

Ya hali ya juu

  • Uingizaji wa tokeni

  • Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi

  • Uingizaji wa RPC

Maelezo

Lugha
Kiingereza
Ada
Kiwango cha bure, mipango ya kulipia kuanzia US$ 399.99/kwa mwezi
Orodha imekaguliwa
Desemba 2025

Mikoba inayofanana

Ledger
NFTs
Maunzi
Fedha

Eneo-kazi · Simu ya mkononi · Maunzi

Kiingereza · Kiarabu

Kifaa: US$ 79–399, Ada ya badilishano: inabadilika

Braavos
NFTs

Simu ya mkononi · Kivinjari

Kiingereza

Ada ya badilishano: 0%

GridPlus Lattice1
NFTs
Maunzi

Eneo-kazi · Kivinjari · Maunzi

Kiingereza

Kifaa: US$ 397