
Tazama inayofuata
Ready WalletKuhusu Railway Wallet
Railway Wallet ni mkoba unaozingatia faragha unaojumuisha itifaki ya Railgun kwenye Ethereum na minyororo mingine ya Mashine Pepe ya Ethereum (EVM), kwa uhamishaji wa faragha na ufikiaji wa faragha wa fedha zilizogatuliwa (DeFi).
Vipengele
Tabaka la 2
Mabadilishano
Usaidizi wa ENS
Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)
Usaidizi wa NFT
Uwekaji dhamana
Usaidizi wa mkoba wa maunzi
Usalama
Chanzo wazi
Umiliki binafsi
Miamala ya faragha
Nunua / uza kripto
Nunua kripto
Uza kwa pesa taslimu
Mkataba mahiri
Saini-nyingi
Urejeshaji wa kijamii
Akaunti mahiri
Maboresho ya akaunti
Ya hali ya juu
Uingizaji wa RPC
Uingizaji wa tokeni
Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi
Maelezo
- Lugha
- Kiingereza
- Ada
- Ada ya kukinga/kuondoa kinga: 0.25%
- Orodha imekaguliwa
- Oktoba 2025