Ruka hadi maudhui makuu

Kuhusu Safe

Safe ni mkoba wa akaunti janja wa chanzo wazi unaohitaji idadi maalum ya wasaini ili kuidhinisha muamala kabla haujafanya kazi. Watu binafsi, timu na mashirika yanayojitegemea na kugatuliwa (DAO) huutumia kulinda rasilimali kwenye Ethereum na mitandao mingine ya Mashine Pepe ya Ethereum (EVM).

Vipengele

  • Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)

  • Usaidizi wa NFT

  • Uwekaji dhamana

  • Tabaka la 2

  • Mabadilishano

  • Usaidizi wa mkoba wa maunzi

  • Usaidizi wa ENS

Usalama

  • Chanzo wazi

  • Umiliki binafsi

  • Miamala ya faragha

Nunua / uza kripto

  • Nunua kripto

  • Uza kwa pesa taslimu

Mkataba mahiri

  • Saini-nyingi

  • Urejeshaji wa kijamii

  • Akaunti mahiri

  • Maboresho ya akaunti

Ya hali ya juu

  • Uingizaji wa tokeni

  • Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi

  • Uingizaji wa RPC

Maelezo

Lugha
Kiingereza
Ada
Ada ya badilishano: 0.05% – 0.7%, Ada ya uwekaji dhamana: 20% ya zawadi
Orodha imekaguliwa
Novemba 2024

Mikoba inayofanana

Coin98 Super Wallet
NFTs
Fedha

Simu ya mkononi · Kivinjari

Kiingereza · Kivietinamu

Ada ya badilishano: 0.5% (0.1% kwa sarafu dhabiti)

Taho
NFTs
Fedha

Kivinjari

Kiingereza

Ada ya badilishano: 0.5%

Zerion Wallet
Mgeni kwenye kripto
NFTs
Fedha
Msanidi

Eneo-kazi · Simu ya mkononi · Kivinjari

Kiingereza · Kirusi

Ada ya badilishano/daraja: 0.67% (chini zaidi ukiwa na Premium), Ada ya kununua: imewekwa na mtoa huduma