Ruka hadi maudhui makuu

Kuhusu Bitget wallet

Bitget Wallet ni mkoba wa minyororo mingi wenye mabadilishano, uwekaji dhamana, kivinjari cha programu tumizi iliyogatuliwa (dapp) na soko la tokani isiyobadilishika (NFT). Inaauni mikoba ya kirai cha mbegu, isiyo na ufunguo ya MPC na akaunti janja.

Vipengele

  • Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)

  • Usaidizi wa NFT

  • Tabaka la 2

  • Mabadilishano

  • Usaidizi wa mkoba wa maunzi

  • Uwekaji dhamana

  • Usaidizi wa ENS

Usalama

  • Umiliki binafsi

  • Chanzo wazi

  • Miamala ya faragha

Nunua / uza kripto

  • Nunua kripto

  • Uza kwa pesa taslimu

Mkataba mahiri

  • Maboresho ya akaunti

  • Saini-nyingi

  • Urejeshaji wa kijamii

  • Akaunti mahiri

Ya hali ya juu

  • Uingizaji wa RPC

  • Uingizaji wa tokeni

  • Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi

Maelezo

Lugha
Kiingereza, Kichina, Kichina (Taiwan), Kikorea, Kijapani
Ada
Ada ya badilishano: inabadilika
Orodha imekaguliwa
Novemba 2024

Mikoba inayofanana

Taho
NFTs
Fedha

Kivinjari

Kiingereza

Ada ya badilishano: 0.5%

Safe
NFTs
Fedha

Simu ya mkononi

Kiingereza

Ada ya badilishano: 0.05% – 0.7%, Ada ya uwekaji dhamana: 20% ya zawadi

TokenPocket
NFTs
Maunzi
Fedha

Simu ya mkononi · Kivinjari · Maunzi

Kiingereza · Kiarabu

Ada ya badilishano: haijawekwa wazi (punguzo kwa wanaoshikilia TPT)