Ruka hadi maudhui makuu

Kuhusu Keystone

Keystone ni mkoba wa maunzi wa chanzo wazi. Huunganishwa na mikoba ya programu kama vile MetaMask na Rabby ili kusaini miamala nje ya mtandao.

Vipengele

  • Tabaka la 2

  • Usaidizi wa mkoba wa maunzi

  • Usaidizi wa ENS

  • Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)

  • Usaidizi wa NFT

  • Uwekaji dhamana

  • Mabadilishano

Usalama

  • Chanzo wazi

  • Umiliki binafsi

  • Miamala ya faragha

Nunua / uza kripto

  • Nunua kripto

  • Uza kwa pesa taslimu

Mkataba mahiri

  • Saini-nyingi

  • Urejeshaji wa kijamii

  • Akaunti mahiri

  • Maboresho ya akaunti

Ya hali ya juu

  • Uingizaji wa RPC

  • Uingizaji wa tokeni

  • Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi

Maelezo

Lugha
Kiingereza, Kichina, Kihispania, Kikorea, Kijapani
Ada
Kifaa: US$ 149
Orodha imekaguliwa
Oktoba 2024

Mikoba inayofanana

imKey Pro Hardware Wallet
NFTs
Maunzi
Fedha
Msanidi

Eneo-kazi · Simu ya mkononi · Kivinjari · Maunzi

Kiingereza · Kichina

Kifaa: US$ 110, Ada ya badilishano: 0%

TokenPocket
NFTs
Maunzi
Fedha

Simu ya mkononi · Kivinjari · Maunzi

Kiingereza · Kiarabu

Ada ya badilishano: haijawekwa wazi (punguzo kwa wanaoshikilia TPT)

Ledger
NFTs
Maunzi
Fedha

Eneo-kazi · Simu ya mkononi · Maunzi

Kiingereza · Kiarabu

Kifaa: US$ 79–399, Ada ya badilishano: inabadilika