Ruka hadi maudhui makuu

Kuhusu imToken

imToken ni mkoba wa minyororo mingi wa Ethereum, Bitcoin, Cosmos na mitandao mingine, wenye ufikiaji wa itifaki za fedha zilizogatuliwa (DeFi) na mitandao ya tabaka la 2 (l2) kama vile Arbitrum.

Vipengele

  • Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)

  • Usaidizi wa NFT

  • Uwekaji dhamana

  • Tabaka la 2

  • Mabadilishano

  • Usaidizi wa mkoba wa maunzi

  • Usaidizi wa ENS

Usalama

  • Chanzo wazi

  • Umiliki binafsi

  • Miamala ya faragha

Nunua / uza kripto

  • Nunua kripto

  • Uza kwa pesa taslimu

Mkataba mahiri

  • Saini-nyingi

  • Urejeshaji wa kijamii

  • Akaunti mahiri

  • Maboresho ya akaunti

Ya hali ya juu

  • Uingizaji wa RPC

  • Uingizaji wa tokeni

  • Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi

Maelezo

Lugha
Kiingereza, Kichina, Kichina (Taiwan), Kirusi, Kijerumani
Ada
Ada ya badilishano: 0.3% (0.04% sarafu dhabiti, chini zaidi kwenye l2)
Orodha imekaguliwa
Septemba 2024

Mikoba inayofanana

Zerion Wallet
Mgeni kwenye kripto
NFTs
Fedha
Msanidi

Eneo-kazi · Simu ya mkononi · Kivinjari

Kiingereza · Kirusi

Ada ya badilishano/daraja: 0.67% (chini zaidi ukiwa na Premium), Ada ya kununua: imewekwa na mtoa huduma

Frame
NFTs
Fedha
Msanidi

Eneo-kazi · Kivinjari

Kiingereza

OneKey
Mgeni kwenye kripto
NFTs
Maunzi
Fedha
Msanidi

Eneo-kazi · Simu ya mkononi · Kivinjari · Maunzi

Kiingereza · Kichina

Ada ya badilishano/daraja: 0.85%