
Unstoppable wallet
Simu ya mkononi
Tazama inayofuata
AlphaWalletKuhusu Unstoppable wallet
Unstoppable ni mkoba mbalimbali wa chanzo wazi, wa kujisimamia wa Ethereum, Bitcoin, Polygon na minyororo mingine, wenye soko la kubadilishana lililogatuliwa lililojengewa ndani na uchanganuzi wa tokeni na tokani zisizobadilishika (NFT).
Vipengele
Unganisha kwenye programu tumizi zilizogatuliwa (dapp)
Usaidizi wa NFT
Tabaka la 2
Mabadilishano
Usaidizi wa ENS
Uwekaji dhamana
Usaidizi wa mkoba wa maunzi
Usalama
Chanzo wazi
Umiliki binafsi
Miamala ya faragha
Nunua / uza kripto
Nunua kripto
Uza kwa pesa taslimu
Mkataba mahiri
Saini-nyingi
Urejeshaji wa kijamii
Akaunti mahiri
Maboresho ya akaunti
Ya hali ya juu
Uingizaji wa RPC
Uingizaji wa tokeni
Uwekaji mapendeleo wa ada ya gesi
Maelezo
- Lugha
- Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kikorea, Kirusi
- Ada
- Ada ya badilishano: 0%
- Orodha imekaguliwa
- Oktoba 2025
Mikoba inayofanana


Simu ya mkononi
Kiingereza · Kichina
Ada ya badilishano: 0.3% (0.04% sarafu dhabiti, chini zaidi kwenye l2)

Simu ya mkononi · Kivinjari
Kiingereza · Kiarabu
Ada ya kununua: imewekwa na mtoa huduma