Ruka kwenda kwenye maudhui makuu
Change page

Nyaraka za maendeleo ya Ethereum

Ukurasa ulihaririwa mwisho: 23 Februari 2026

Nyaraka hizi zimeundwa kukusaidia kujenga kwa kutumia Ethereum. Inashughulikia Ethereum kama dhana, inaeleza mfumo wa kiteknolojia wa Ethereum, na inaandika mada za juu kwa matumizi na matumizi tata zaidi.

Huu ni mradi wa jamii wa chanzo huria, kwa hivyo jisikie huru kupendekeza mada mpya, kuongeza maudhui mapya na kutoa mifano wakati wowote unapofikiri inaweza kusaidia. Nyaraka zote zinaweza kuhaririwa kupitia GitHub – ikiwa huna uhakika jinsi ya kufanya, fuata maagizo hayaopens in a new tab.

Moduli za maendeleo

Ikiwa hii ndio mara yako ya kwanza kujaribu maendeleo ya Ethereum, tunapendekeza uanze mwanzo na uendelee hatua kwa hatua kama vile unasoma kitabu.

Mada za msingi

Rafu ya Ethereum

Ya hali ya juu

Je! makala haya yamekusaidia?