Ruka kwenda kwenye maudhui makuu
Change page

Ethereum kwa Wasanidi wa Elixir

Ukurasa ulihaririwa mwisho: 9 Agosti 2024

Jifunze jinsi ya kusanidi kwa Ethereum ukitumia miradi na zana zinazotumia Elixir.

Tumia Ethereum kuunda programu zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu fiche na teknolojia ya kiambajengo. Hizi mfumo mtawanyo wa kimamlaka zinaweza kuwa za bila kuaminiana, ikimaanisha kwamba pindi tu zinapowekwa kwenye Ethereum, zitaendeshwa daima kama zilivyopangwa. Wanaweza kudhibiti mali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, kumaanisha kuwa hakuna huluki moja au mtu anayezidhibiti na karibu haiwezekani kuzidhibiti.

Kuanza na mikataba-erevu na lugha ya Solidity

Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Elixir na Ethereum

Je, unahitaji primer ya msingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.

Makala za wanaoanza

Makala za wastani

Miradi na zana za Elixir

Inayotumika

Imehifadhiwa kwenye kumbukumbu / Haitunzwi tena

Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia nyumbani kwa Wasanidi wetu.

Wachangiaji wa jumuiya ya Elixir

Chaneli ya #ethereum ya Slack ya Elixir (opens in a new tab) ni mwenyeji wa jumuiya inayokua kwa kasi na ni rasilimali maalum kwa majadiliano kuhusu miradi yoyote iliyo hapo juu na mada zinazohusiana.

Je! makala haya yamekusaidia?