Ethereum kwa Wasanidi wa Ruby
Ukurasa ulihaririwa mwisho: 12 Septemba 2025
Tumia Ethereum kuunda programu zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu fiche na teknolojia ya kiambajengo. Hizi mfumo mtawanyo wa kimamlaka zinaweza kuwa za bila kuaminiana, ikimaanisha kwamba pindi tu zinapowekwa kwenye Ethereum, zitaendeshwa daima kama zilivyopangwa. Wanaweza kudhibiti mali za kidijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, kumaanisha kuwa hakuna huluki moja au mtu anayezidhibiti na karibu haiwezekani kuzidhibiti.
Kuanza na mikataba-erevu na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Ruby na Ethereum
Je, unahitaji primer ya msingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa bloku Umefafanuliwa (opens in a new tab)
- Kuelewa Mikataba-erevu (opens in a new tab)
- Andika Mkataba-erevu wako wa Kwanza (opens in a new tab)
- Jifunze Jinsi ya Kuandaa na Kupeleka Solidity (opens in a new tab)
Makala za wanaoanza
- Hatimaye kuelewa akaunti za Ethereum (opens in a new tab)
- Hatimaye Uthibitishaji wa Watumiaji wa Rails na MetaMask (opens in a new tab)
- Jinsi ya kuunganisha kwenye mtandao wa Ethereum kwa kutumia Ruby (opens in a new tab)
- Jinsi ya kuzalisha anwani mpya ya Ethereum katika Ruby (opens in a new tab)
Makala za wastani
- Programu ya Blockchain na Ruby (opens in a new tab)
- Tumia Ruby, iliyounganishwa na Ethereum, kutekeleza Mkataba Mahiri (opens in a new tab)
Miradi na zana za Ruby
Inayotumika
- eth.rb (opens in a new tab) - Maktaba ya Ruby na mteja wa RPC wa kushughulikia akaunti za Ethereum, ujumbe na miamala
- keccak.rb (opens in a new tab) - Hashi ya Keccak (SHA3) inayotumiwa na Ethereum
- siwe-ruby (opens in a new tab) - Utekelezaji wa Ruby wa Ingia na Ethereum
- siwe-rails (opens in a new tab) - Gem ya Rails inaoongeza njia za kuingia za SIWE
- siwe-rails-examples (opens in a new tab) - Mfano wa SIWE unaotumia Ruby on Rails na kidhibiti maalum
- omniauth-siwe (opens in a new tab) - Mkakati wa OmniAuth kwa ajili ya Ingia na Ethereum (SIWE)
- omniauth-nft (opens in a new tab) - Mkakati wa OmniAuth wa kuthibitisha kupitia umiliki wa NFT
- ethereum-on-rails (opens in a new tab) - Kiolezo cha Ethereum on Rails kinachoruhusu kuunganisha MetaMask kwenye Ruby on Rails
Imehifadhiwa kwenye kumbukumbu / Haitunzwi tena
- web3-eth (opens in a new tab) - Kuita mbinu za RPC za nodi ya Ethereum na Ruby
- ethereum_tree (opens in a new tab) - Maktaba ya Ruby ya kuzalisha anwani za ETH kutoka kwa mkoba wa Hierarchical Deterministic kulingana na kiwango cha BIP32
- etherlite (opens in a new tab) - Uunganishaji wa Ethereum kwa Ruby on Rails
- ethereum.rb (opens in a new tab) - Mteja wa Ruby Ethereum anayetumia kiolesura cha JSON-RPC kutuma miamala, kuunda na kuingiliana na mikataba pamoja na zana muhimu ya kufanya kazi na nodi ya Ethereum
- omniauth-ethereum.rb (opens in a new tab) - Hutekeleza mkakati wa mtoaji wa Ethereum kwa OmniAuth
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia nyumbani kwa Wasanidi wetu.
Wachangiaji wa jumuiya ya Ruby
Kundi la Telegram la Ethereum Ruby (opens in a new tab) ni mwenyeji wa jumuiya inayokua kwa kasi na ni rasilimali maalum kwa majadiliano juu ya miradi yoyote hapo juu na mada zinazohusiana.